Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
Kufuga mmbwa ni hobby pia sio wote wanapendaPesa ama gharama tunayo tumia kumlisha, kumtibu na kumtunza Joy ni nafuu zaidi ya mshahara wa kumlipa mlizi mwenye kirungu
Unawalisha chakula ganiMbona mi ninao watatu na mmoja akomimba na siwazi wala nini.
SuperdogUnawalisha chakula gani
Ufugaji ni funny that's y unakuta kuna watu wanamiliki hadi zoo za wananyamaKatika hobby ambazo nashindwa kuzielewa ni hizi za watu kununua mbwa kwa gharama za malaki na mamilioni na gharama zingine za kuwalisha na kuwahudumia.... kweli dunia msongamano!!!!
Hivi ukimuanzishia dozi ya ugali kwa dagaa akiwa bado mdogo si atazoeaUkiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
Ukimfuga kienyejin inamchelewesha katika ukuajiUnaweza kumfuga kienyeji pia hawezi kukataa....
Yap!!Ufugaji ni funny that's y unakuta kuna watu wanamiliki hadi zoo za wananyama
Jaribu uone kama hujakuta kala mtotoUnaweza kumfuga kienyeji pia hawezi kukataa....
Germany shepherd siyo sawa na ma- bulldog mengine anafundishika na ni mvumilivu kwenye changamoto.Jaribu uone kama hujakuta kala mtoto
Hapana ni Imani TU umeaminishwa, G shepherd anaweza kufungwa kama mbwa wa kawaida kabisa wa Milo miwili kwa siku.Ukimfuga kienyejin inamchelewesha katika ukuaji
HhhhhNilienda nchi flani nikakuta jamaa anafuga mbwa wanaitwa Mastiff picha inaanza mbwa ana uzito wa kilo 73 kwa siku anakula nyama kilo 3 sasa kibongo bongo si budget ya wiki hiyo kwa familia ya watoto wa 3
Hahhaaaaa hii kaliJaribu uone kama hujakuta kala mtoto