Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

Mm nilimchukua mbwa wa kienyej kutoka kwa mama yake akiwa na 2 wks, nikawa namlisha maziwa, nyama, tambi na mkate, ndo vilikuwa vyakula vyake pendwa, ndan ya miezi 2 kila mtu alikuwa anamshangaa, na alikuwa mkali balaa.

kenge zikamvizia zikampa sumu.
 
Germany shepherd siyo sawa na ma- bulldog mengine anafundishika na ni mvumilivu kwenye changamoto.
German Shepherd, ana nguvu nyingi na anamahitaji makubwa ya chakula bora na cha kutosha, ukimfuga kienyeji bila kumpa chakula cha kutosha jiandae atakubadilikia saa yoyote, wasipopewa chakula chakutosha huwa wanaanza kuwa wakorofi anaweza kukugeuka
 
Niliwahi kufuga mtoto wa mbwa hapa home. Aisee chakula chake sio mchezo.Ni gharama . Baada kushidwa niliamua kwenda kumtupa njiani huko.

Pia mbwa hawana faida zaidi ya kufirisi
 
Niliwahi kufuga mtoto wa mbwa hapa home. Aisee chakula chake sio mchezo.Ni gharama . Baada kushidwa niliamua kwenda kumtupa njiani huko.

Pia mbwa hawana faida zaidi ya kufirisi
Faida zake ninyingi kwanza ulinzi,pili ni mfariji pale unapokuwa na strees ,tatu Mbwa ni rafiki mzuri sana

Inawezekana wewe sio Mpenzi wa Mbwa
 
Hao mnaowalisha makombo ya kwenye mahotel ndio unasema gharama?
 
Mm nilimchukua mbwa wa kienyej kutoka kwa mama yake akiwa na 2 wks, nikawa namlisha maziwa, nyama, tambi na mkate, ndo vilikuwa vyakula vyake pendwa, ndan ya miezi 2 kila mtu alikuwa anamshangaa, na alikuwa mkali balaa.

kenge zikamvizia zikampa sumu.
Hao Kenge waliona tuu wivu manyamanyama, matambi unayomlisha Mbwa wako

Ila Binadamu
 
Sasa unafugaje mnyama unamyima chakula

wakati wewe unakula mpaka kusaza hio ni dhambi
Mfano umekosa hela kwa wiki moja, au bajeti haikuruhusu.Inaweza kulazimu kumpa chakula kidogo au akashinda njaa (huyo mbwa).

Ila nakupongeza kwa hobby yako hiyo.
 
Back
Top Bottom