Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,423
Kwa Hobby yangu ya ku upenda Mbwa huwa namzingatia sana ha ta Kwa udogoMfano umekosa hela kwa wiki moja, au bajeti haikuruhusu.Inaweza kulazimu kumpa chakula kidogo au akashinda njaa (huyo mbwa).
Ila nakupongeza kwa hobby yako hiyo.
Halafu kila siku asubuhi umfungie na jioni uje kumfungulia kutoka bandani naona kama utumwa fulani.Katika hobby ambazo nashindwa kuzielewa ni hizi za watu kununua mbwa kwa gharama za malaki na mamilioni na gharama zingine za kuwalisha na kuwahudumia.... kweli dunia msongamano!!!!
Nakupa heko ndugu Miguel! Na kuchinja wanyama kama kuku & ngombe unaweza? Au unawa hurumia?Kwa Hobby yangu ya ku upenda Mbwa huwa namzingatia sana ha ta Kwa udogo
Kama mfugaji Kuna namnaflan utakuwa karibu na mifugo unaweza kutambua ikiwa ni mgojwa,ama chakula kinaelekea kuisha Kwa hiyo itapelekea kujipanga mapema Kabla hakijaisha
Sure, ila Germany shepherd yupo tofauti ndiye mbwa anayeongoza kwa kuwa na kumbukumbu hisia Kali, ndiyo maana anatumiwa majeshini.Hiyo Mi bulldog kwanza misahualifu inapoteza sana kumbukumbu hiyo miMbwa
German Shepherd, ana nguvu nyingi na anamahitaji makubwa ya chakula bora na cha kutosha, ukimfuga kienyeji bila kumpa chakula cha kutosha jiandae atakubadilikia saa yoyote, wasipopewa chakula chakutosha huwa wanaanza kuwa wakorofi anaweza kukugeuka
Huyo ukikutananaye kwenye 18 zake si ni hatari zaidi ya simbaView attachment 3441310wewe unamzungumzia huyu (pitbull) siyo German shepherd.....πππ
Hivi ukimuanzishia dozi ya ugali kwa dagaa akiwa bado mdogo si atazoea
Wangu anakula mlo mmoja tu na yuko poa!Hapana ni Imani TU umeaminishwa, G shepherd anaweza kufungwa kama mbwa wa kawaida kabisa wa Milo miwili kwa siku.
Huyo katoa mpyaKuna mtu kasema mbwa wake ni vegetarian ila JF haha
Lakini mbavu zake lazma zinaonekanaWangu anakula mlo mmoja tu na yuko poa!
Huyu hata huko ulaya kumfuga lazima kubali maalum huwezi kufugafuga ovyoView attachment 3441310wewe unamzungumzia huyu (pitbull) siyo German shepherd.....πππ
Haswaaaa.Wangu anakula mlo mmoja tu na yuko poa!
Vibaya mno....anachana bati kwa meno...Huyo ukikutananaye kwenye 18 zake si ni hatari zaidi ya simba