Kwahiyo hata Simba ilihongwa!?Si mnashinda mechi kwa hongo za marefa, uchawi na kudhamini vilabu
Huyo siyo mshabiki wa mpira. Washabiki hawahami. Club ni kubwa kuliko mtu.Huyo Gamondi ulimjulia wapi kabla ya hao wakina Hersi kumleta Yanga? Kwanini usisubiri uone huyu mpya atafanya nini?
Yaani hapa ndo umejibu swali la Kosugi ?Wakati hayo yote yanatokea je SIMBA ile ilikuwa sawa kiuwezo na kiubora ukilinganisha na SIMBA hii?
Kwahiyo 51mba mlipofungwa mara nne mfululizo na Yanga, mlihongwa na Yanga?Si mnashinda mechi kwa hongo za marefa, uchawi na kudhamini vilabu
Waswahili ndio asili yetu mtu kuongea tusichoweza kuthibitisha.Kwahiyo 51mba mlipofungwa mara nne mfululizo, mlihongwa na Yanga?
Ndo akina Shanily hawa..!! Wapo wengi sana. Ila mwenyekiti wao alishasema, ni mbumbumbuWaswahili ndio asili yetu mtuu kuongea tusichoweza kuthibitisha.
Mtaani wapo wanaoamini kuwa eti serikali ilihonga Simba ili ifungwe na Yanga.
Halafu ukiwasikiliza wanavyoongea wako siriaz huku wakisisitiza,uliza hii habari umeipata wapi!๐๐๐๐๐
Atajiuma uma sana.
Na kweli Tanga sio mbao Fc.Pole yako kijana amka usije ukajikojolea kitandani.
Tanga sio mbao FC Hadi itetereke kama unavyodhani.
Haisimamiwi na kina mangungo Ile.
Rekodi ipi?Yanga alimaliza lini ligi bila kufungwa?Ni Azam na Simba tu ndio zimewahi kumaliza ligi bila kufungwa.Hivi mkuu wewe ni mtu wa mpira ama mpiga porojo tu?
Nasrudin Nabi si ndiye kocha aliyeweka rekodi ya UNBEATABLE msimu mzima wa 2022!?
Nabi si ndiye aliyeipa Yanga ubingwa mara mbili mfululizo 2022 na 2023!?
Nabi si ndiye aliyeipandisha rank Yanga CAF kwa kuipeleka fainali shirikisho Afrika!?
Na historia ya Nabi ilikua kama ya huyo Ramovic,Yanga ilimchukua akiwa ametoka kufukuzwa kazi timu ya Al merreikh ya Sudan.
Ila akaja Yanga akafanya makubwa kila mtu akashangaa.
Nahisi hapa najadiliana na mpiga kelele sio mtu wa mpira.
Kama hujui mpira Kaa kimya kaka.Rekodi ipi?Yanga alimaliza lini ligi bila kufungwa?Ni Azam na Simba tu ndio zimewahi kumaliza ligi bila kufungwa.
Sababu zipi za kutimuliwa?Atatimliwa kabla ya December kuisha๐
Yanga alifungwa na Ihefu tarehe 29 Novemba 2022.Na akafungwa tena tarehe 4 Oktoba 2023.Kama hujui mpira Kaa kimya kaka.
Nasrudin Nabi msimu wa 2022 aliweka rekodi ya unbeaten msimu mzima hadi kuingia 2023 msimu wa pili Ihefu ndio ikavunja hiyo rekodi ya unbeaten.
Na Yanga iliweka rekodi ya kukusanya point nyingi kuliko timu yeyote Kwa msimu mmoja kabla ya msimu kuisha.
Aisee ninyi sio watu wa mpira wapiga kelele tu ninyi.
Nikisema hujui mpira hujui mpira tu.Yanga alifungwa na Ihefu tarehe 29 Novemba 2022.Na akafungwa tena tarehe 4 Oktoba 2023.
Wadanganye wavimba macho wenzako.Yanga amefungwa mara mbili na Ihefu back to back huko Mbarali.
Hakuna msimu Yanga alimaliza msimu bila kufungwa.Inawezekana umeanza kupenda mpira ukubwani.Ndio raundi ya pili 2023 Mwigulu akainunua Ihefu na kuibadili jina na kuiita Singida Black Stars.
NITAFUTIE MECHI YANGA ALIOFUNGWA MSIMU WA 2021/2022 WA LIGI.Yanga alifungwa na Ihefu tarehe 29 Novemba 2022.Na akafungwa tena tarehe 4 Oktoba 2023.
Wadanganye wavimba macho wenzako.Yanga amefungwa mara mbili na Ihefu back to back huko Mbarali.
Hakuna msimu Yanga alimaliza msimu bila kufungwa.Inawezekana umeanza kupenda mpira ukubwani.Ndio raundi ya pili 2023 Mwigulu akainunua Ihefu na kuibadili jina na kuiita Singida Black Stars.
Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.NITAFUTIE MECHI YANGA ALIOFUNGWA MSIMU WA 2021/2022 WA LIGI.
NIMEKAA HAPA NASUBIRI KIJANA.
Ona huyu mpuuzi asiyejielewa!Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.
Nisiendelee kubishana na wewe.Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.
Haya rudisha na ule mwiko.Uzi usiwe mreeeeefu.
Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.
Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.
Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.
Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.
Asanteni