Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

Si mnashinda mechi kwa hongo za marefa, uchawi na kudhamini vilabu
Kwahiyo hata Simba ilihongwa!?
Kwahiyo hata CR belouzdad ilihongwa?
Kwahiyo ushindi wa michuano ya kimataifa Yanga ilihonga marefa!??
Aiseeee ttttttt unasikitisha sana kama hizo ni akili zako usipate mtoto utampa shida ya kifikra.
 
Huyo Gamondi ulimjulia wapi kabla ya hao wakina Hersi kumleta Yanga? Kwanini usisubiri uone huyu mpya atafanya nini?
Huyo siyo mshabiki wa mpira. Washabiki hawahami. Club ni kubwa kuliko mtu.
Nenda mwana kwenda
 
Kwahiyo 51mba mlipofungwa mara nne mfululizo, mlihongwa na Yanga?
Waswahili ndio asili yetu mtu kuongea tusichoweza kuthibitisha.
Mtaani wapo wanaoamini kuwa eti serikali ilihonga Simba ili ifungwe na Yanga.
Halafu ukiwasikiliza wanavyoongea wako siriaz huku wakisisitiza,uliza hii habari umeipata wapi!😂😂😂😂😂
Atajiuma uma sana.
 
Waswahili ndio asili yetu mtuu kuongea tusichoweza kuthibitisha.
Mtaani wapo wanaoamini kuwa eti serikali ilihonga Simba ili ifungwe na Yanga.
Halafu ukiwasikiliza wanavyoongea wako siriaz huku wakisisitiza,uliza hii habari umeipata wapi!😂😂😂😂😂
Atajiuma uma sana.
Ndo akina Shanily hawa..!! Wapo wengi sana. Ila mwenyekiti wao alishasema, ni mbumbumbu
 
Hivi mkuu wewe ni mtu wa mpira ama mpiga porojo tu?
Nasrudin Nabi si ndiye kocha aliyeweka rekodi ya UNBEATABLE msimu mzima wa 2022!?
Nabi si ndiye aliyeipa Yanga ubingwa mara mbili mfululizo 2022 na 2023!?
Nabi si ndiye aliyeipandisha rank Yanga CAF kwa kuipeleka fainali shirikisho Afrika!?
Na historia ya Nabi ilikua kama ya huyo Ramovic,Yanga ilimchukua akiwa ametoka kufukuzwa kazi timu ya Al merreikh ya Sudan.
Ila akaja Yanga akafanya makubwa kila mtu akashangaa.
Nahisi hapa najadiliana na mpiga kelele sio mtu wa mpira.
Rekodi ipi?Yanga alimaliza lini ligi bila kufungwa?Ni Azam na Simba tu ndio zimewahi kumaliza ligi bila kufungwa.
 
Rekodi ipi?Yanga alimaliza lini ligi bila kufungwa?Ni Azam na Simba tu ndio zimewahi kumaliza ligi bila kufungwa.
Kama hujui mpira Kaa kimya kaka.
Nasrudin Nabi msimu wa 2022 aliweka rekodi ya unbeaten msimu mzima hadi kuingia 2023 msimu wa pili Ihefu ndio ikavunja hiyo rekodi ya unbeaten.
Na Yanga iliweka rekodi ya kukusanya point nyingi kuliko timu yeyote Kwa msimu mmoja kabla ya msimu kuisha.
Aisee ninyi sio watu wa mpira wapiga kelele tu ninyi.
 
Yanga alifungwa na Ihefu tarehe 29 Novemba 2022.Na akafungwa tena tarehe 4 Oktoba 2023.
Wadanganye wavimba macho wenzako.Yanga amefungwa mara mbili na Ihefu back to back huko Mbarali.
Hakuna msimu Yanga alimaliza msimu bila kufungwa.Inawezekana umeanza kupenda mpira ukubwani.Ndio raundi ya pili 2023 Mwigulu akainunua Ihefu na kuibadili jina na kuiita Singida Black Stars.
 
Nikisema hujui mpira hujui mpira tu.
Msimu aliofungwa Yanga ni wa 2022/2023.
Msimu wa 2021/2022 Yanga alimaliza msimu akiwa unbeaten.
Acha ubishi wa kifala.
 
Yanga alifungwa na Ihefu tarehe 29 Novemba 2022.Na akafungwa tena tarehe 4 Oktoba 2023.
Wadanganye wavimba macho wenzako.Yanga amefungwa mara mbili na Ihefu back to back huko Mbarali.
Hakuna msimu Yanga alimaliza msimu bila kufungwa.Inawezekana umeanza kupenda mpira ukubwani.Ndio raundi ya pili 2023 Mwigulu akainunua Ihefu na kuibadili jina na kuiita Singida Black Stars.
NITAFUTIE MECHI YANGA ALIOFUNGWA MSIMU WA 2021/2022 WA LIGI.
NIMEKAA HAPA NASUBIRI KIJANA.
 
NITAFUTIE MECHI YANGA ALIOFUNGWA MSIMU WA 2021/2022 WA LIGI.
NIMEKAA HAPA NASUBIRI KIJANA.
Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.
 
Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.
Ona huyu mpuuzi asiyejielewa!
25 April 2021 ni msimu wa 2020/2021.
Au hata hujui ligi zinaanza mwezi wa ngapi!?
Msimu wa 2021/2022 ulianza August 2021.
Aiseeee😂😂😂😂😂😂
Msimu wa 2021/2022 Yanga alimfunga azam 2-0 na 2-1.
Hata mpira unafuatilia kweli wewe!?
 
Utarukaruka sana Msimu wa 2021/2022 mwezi April tarehe 25 2021 Yanga alifungwa goli moja na Azam.Tafuta msimu mwingine.
Nisiendelee kubishana na wewe.
msimu 2021/2022 mzunguko wa kwanza Yanga alimfunga Azam 2-0 Benjamin mkapa tarehe 30/10/2021.
Mzunguko wa pili tarehe 06/04/2022 Azam complex Yanga alimfunga Azam 2-1, tena alianza kutangulia Azam kwa goli la Rogers Kola Yanga wakarudisha na kuongeza.
Wacha nikupe ushahidi wa Yanga kuwa unbeaten.
Tena alivikwa ubingwa ikiwa zimesalia mechi tatu mkononi akiwa ana point nyingi zisizofikika.
Na mechi 3 zilizobaki alishinda zote.
NAKUSUBIRI UPINGE NA HILI.
Screenshot_2024-11-16-18-47-52-91_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-11-16-18-49-05-49_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-11-16-18-49-26-07_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Uzi usiwe mreeeeefu.

Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga.

Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia.

Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

Siku chache zijazo nitatangaza naelekea kushabikia timu gani katika ligi kuu ya NBC.

Maamuzi yangu naomba yaheshimiwe na nikiri kuwa sijashurutishwa bali nimeyafanya kwa weledi na kwa utimamu wa akili.

Asanteni
Haya rudisha na ule mwiko.
 
Back
Top Bottom