Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Mbona kama unachanganya mambo, tujadili lipi kupungua kwa uwezo wa gari kwa 40% au compensation ya bima ikiwa tatizo litatokea..?
Hiyo gesi siku ukipata tatizo la MOTO na utake Bima wakulipe HUTALIPWA maana umebadilisha mfumo wa gari bila kuwataarifu. Muwe mnasoma zile Policy mkikata Bima.
 
Ulivyoandika hovyo hovyo inaonekana wewe Ni mtu wa hovyo hovyo na ulifungiwa mfumo hovyo hovyo na mafundi hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom