Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Huenda pump ya gari yako haiko effective.
Screen_Capture_Img_9748.jpg
 
Aisee nilitest gari juzi ya jamaa yangu Subaru amefunga gesi.

Nikweli kuna utofauti japo sio kivile sana shida ukitumia gesi gari inachelewa kuchanganya ukiiforce ukanyage gesi nyingi gari inavuma mno. Ila kwa safari za town sifikirii kama kuna shida unakimbia uende wapi kwa mfano ila petrol iache iitwe petrol.
 
Ununue Subaru 24m ukose pesa ya mafuta
 
Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Pia Ni vizuri kujua iwapo litatokea tatizo kutokana na kuweka gesi Bima watalipa?
Mbona kama unachanganya mambo, tujadili lipi kupungua kwa uwezo wa gari kwa 40% au compensation ya bima ikiwa tatizo litatokea..?
 
Back
Top Bottom