Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Pia Ni vizuri kujua iwapo litatokea tatizo kutokana na kuweka gesi Bima watalipa?
toyota surf huwa hazina nguvu kwenye miinuko
 
From my experience

Kuna kitu kinaitwa characteristics of fuel

Hapa zipo nyingi sana ila nitatoa tatu tu

1.Ignition temperature
2.flash point
3.Calorific value

Kuna kitu kinaitwa performance na efficiency. Kwa lugha ya mtaani unaweza kuhis ni jambo moja ila ni vitu viwili tofauti.

Hivyo vitu hapo juu ndivyo vinavyofanya engine yako isiwe na nguvu ukiwa unatumia gesi na sote tunajua gari nying ni natural aspiration system hvyo kupata ratio ya oxygen na mafuta inakuwa changamoto kidogo coz manufacture alipiga hesabu za aina nyingine ya fuel.

Kesho ataibuka mtundu mwingine atawaambia anaweza kubadilisha kutoka kwenye petrol kwenda kwenye diesel na watu wengi wanaweza wakamuamin lakin matokeo yatakua kama haya ya kutoka kwenyr petrol kwenda kwenye gesi.

Wale wa mahesabu pitieni madesa

Joul=pdv simple and clear but hata wale wa matrix sio mbaya unaweza ukaitumia ila i sure reading entry lazima zikugomee

Huwez kupata 1 0 0 0
0 1 0 0
0 0 1 0
0 0 0 1

Ukifanikiwa kupata hiyo kitu niite mbwa mi nipo nimekaa hapa buza kwa mpalange nakusubiria.
 
Back
Top Bottom