Hii teknolojia kwa TZ bado Sana. Aina ya mafundi wanaofanya modification Ni changamoto SanaMbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
NB: nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga
View attachment 2197574