Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Ni tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Pia Ni vizuri kujua iwapo litatokea tatizo kutokana na kuweka gesi Bima watalipa?
Vipo hio engine ya 1kz bado ipo vizuri mkuu...?
 
Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga.
NB: nilifunga gesi kwenye Toyota Surf, yaani full majanga

View attachment 2197574
This what people dont know.

Ipo hivi zile cc za gari zinakua na maana yake.. ni kwamba kwenye power stroke ya piston, power generated inakua determined na air, fuel amount, quality ya spark (air-fuel mixture ratio) sasa kinachotokea with gas ni kwamba gas ni nyepesi na inayeyeka haraka wakati wa gari inapotumia gasi kwenye combustion chamber, what happens ni kwamba zile rAtio air fuel mixture inakua haifikia kwakua gas is less dense compared to gasoline, yet injini ikisha fika at required operational temperature kwakua gas is highly flammable so injini ina develop tatizo la pre-ignition ambapo mixture ya hewa na ges ina ignite before required firing order.. (given hizi injini ni natural aspirated engines) sasa hapa lizima power ipotee na injini inaweza anza problem inaitwa engine nocking because of pre-ignition na kuua spark plugs.

Pia injini in PCV valve (inakua pale kwenye top cover ya injini ambapo huchukua ule mvuke wa oil kwenye top cover na kuingiza kwenye njia ya hewa ili ukaunguzwe huko kwenye engine...sasa ule mvuke huwa unaziba njia ya hewa na kufanya injini ya gari iwe inatetemeka wakati wa idle engine speed(silencer) kwakua injini haipati hewa ya kutosha for idle speed stability..sasa kuondoa hii changamoto fuel injectors zinawekwa kwenye njia ya hewa ili kufanya cleaning ya zile oil zinazo gandia kwenye njia ya hewa na kupunguza risks blockage ya hewa kwenye njia ya hewa..sasa Gari ukiweka mfumo wa gas kwakua gas ile haipo kwenye mfumo wa kimiminika basi ile njia inakua hasafishiki kwa wakati..so extended usage ya gas hufanya carbon deposit za oil kwenye njia za hewa kua nyingi na kuleta tatizo la air blockage na kufanya injini iwe ina struggle kwenye low rpm or idle speed.... Also this is why kwa Gari inayokuja na mfumo wa GDI haipo recommended kuweka Mfumo wa GAS.
 
Jana tu nilipanda gari bolt ilikuwa inatumia gesi. Alinieleza kuwa ukifunga gas inapungua sana nguvu na tulikuwa tunapitwa mpk na baiskeli . Gari ilikuwa Toyota
Power stroke ya gasoline na ya gesi ni tofauti kwakua air mixture ratio ya gas na gasoline ni tofauti mfano 14:1 but gas inaweza kua labda 8:1 so hapa pressure ya mlipuko wa gas unakua mdogo kufanya piston i generate downward force ya ku rotation crankshaft.... hence low power.
 
Nguvu gani??
Kukimbia, kubeba mizigo, kupanda Milima....???!
 
This what people dont know.

Ipo hivi zile cc za gari zinakua na maana yake.. ni kwamba kwenye power stroke ya piston, power generated inakua determined na air, fuel amount, quality ya spark (air-fuel mixture ratio) sasa kinachotokea with gas ni kwamba gas ni nyepesi na inayeyeka haraka wakati wa gari inapotumia gasi kwenye combustion chamber, what happens ni kwamba zile rAtio air fuel mixture inakua haifikia kwakua gas is less dense compared to gasoline, yet injini ikisha fika at required operational temperature kwakua gas is highly flammable so injini ina develop tatizo la pre-ignition ambapo mixture ya hewa na ges ina ignite before required firing order.. (given hizi injini ni natural aspirated engines) sasa hapa lizima power ipotee na injini inaweza anza problem inaitwa engine nocking because of pre-ignition na kuua spark plugs.

Pia injini in PCV valve (inakua pale kwenye top cover ya injini ambapo huchukua ule mvuke wa oil kwenye top cover na kuingiza kwenye njia ya hewa ili ukaunguzwe huko kwenye engine...sasa ule mvuke huwa unaziba njia ya hewa na kufanya injini ya gari iwe inatetemeka wakati wa idle engine speed(silencer) kwakua injini haipati hewa ya kutosha for idle speed stability..sasa kuondoa hii changamoto fuel injectors zinawekwa kwenye njia ya hewa ili kufanya cleaning ya zile oil zinazo gandia kwenye njia ya hewa na kupunguza risks blockage ya hewa kwenye njia ya hewa..sasa Gari ukiweka mfumo wa gas kwakua gas ile haipo kwenye mfumo wa kimiminika basi ile njia inakua hasafishiki kwa wakati..so extended usage ya gas hufanya carbon deposit za oil kwenye njia za hewa kua nyingi na kuleta tatizo la air blockage na kufanya injini iwe ina struggle kwenye low rpm or idle speed.... Also this is why kwa Gari inayokuja na mfumo wa GDI haipo recommended kuweka Mfumo wa GAS.
Aisee haya ndio madini, wengi sana wataingia chaka.
 
Back
Top Bottom