Lazima kuwepo na kuelewana katika vyama vya siasa. Maana tatizo lilianzia kwenye vyama vya siasa kutokuelewana. Ndipo sasa ije kwa wananchi.
Na mambo sasa yamebadilika. Kutokea kwenye kipindi cha Jaji warioba akisimamia na sasa kuna mabadiliko makubwa mno. Watu wamekuwa na awareness ya Katiba. So ni wakati mwafaka wa kuelimisha jamii nzima ili waweze kushiriki kwa uwazi zaidi.
..Ccm ndio hawataki maelewano na masikilizano.
..wamegoma kutekeleza mapendekezo ya Tume za Jaji Nyalali, Jaji Kissanga, na Jaji Warioba, kuhusu marekebisho ya Katiba na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi.
..Vyama vya upinzani having tatizo. Wenye matatizo na wakwamishaji ni Ccm.