Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Hivi mtu anaweza from nowhere akadrop kwenye pm yako bila kuwa na sababu?
sihitaji kujua sababu inayowasukuma watu kuanzisha mazumgumzo kwenye private message. sababu wanazijua wao wenyewe.

mimi nimeamua kuchagua utaratubu wa kutoruhusu hali hiyo na ndio maana pm yangu ni inaccessible na simlazimishi yoyote kuniiga.

uzuri wa jf version ya miaka hii inakupa option mbalimbali za kulimit private details kwenye profile page yako. na ndicho nilichofanya.
 
Ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…