Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Sasa mfano aliyetabiri kifo cha Rais nae aache PM wazi unategemea usalama hapo?

Au yule aliye elezea dark days, Jinsi ishu ya March 17 ilivyoenda nae aache geti wazi

Mtoa mada hutumii medula vizuri
 
Back
Top Bottom