Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

sasa mfano aliyetabiri kifo cha Rais nae aache PM wazi unategemea usalama hapo?

au yule aliye elezea dark days, Jinsi ishu ya March 17 ilivyoenda nae aache geti wazi

kmmke mtoa mada hutumii medula vizuri
Kuna vitu vingine hatuna mamlaka navyo kuviongea
 
1.Kila mtu ana haki ya kufunga PM. Ndiyo maana ikaitwa PM. The P in PM means Private.

2. Privacy ni haki ya kikatiba.

3.Kufunga PM si uchoyo. Mtu mwingine anaweza kufunga PM kwa kukuhurumia wewe.

4. Hata uchoyo nao ni haki ya mtu. Mtu ana haki ya kuwa mchoyo kwa kitu chake.

5. Wewe nawe una mailbox yako. Ifanye unachotaka. Acha kutamani ku control mailboxes za wenzako.
Baada ya kusema hayo, fungua pm.
 
Back
Top Bottom