Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
angenipa sababu za msingi ningemfungulia ila naona anaruka ruka tu kama maharagwe jikon
Labda anataka afungue kitasa cha mlango πππ, si unajua hivi vitasa vya union huwa vinasumbua sana?angenipa sababu za msingi ningemfungulia ila naona anaruka ruka tu kama maharagwe jikon
Nigga you always stand out, you don't give a shit about fitting in, and thats the best thing about you.1.Kila mtu ana haki ya kufunga PM. Ndiyo maana ikaitwa PM. The P in PM means Private.
2. Privacy ni haki ya kikatiba.
3.Kufunga PM si uchoyo. Mtu mwingine anaweza kufunga PM kwa kukuhurumia wewe.
4. Hata uchoyo nao ni haki ya mtu. Mtu ana haki ya kuwa mchoyo kwa kitu chake.
5. Wewe nawe una mailbox yako. Ifanye unachotaka. Acha kutamani ku control mailboxes za wenzako.
I'm just being me my dude, my true authentic self. Everybody else is taken.Nigga you always stand out, you don't give a shit about fitting in, and thats the best thing about you.
Anaetaka kunitumia hela aniambie nimfungulieLabda anataka akutumie hela [emoji28][emoji28]
I look up to you bro.I'm just being me my dude, my true authentic self. Everybody else is taken.
Ki vipi mkuu?Watu wanauzi sanaaa
Fungua aisee ntakurushia. Hivi siumejisajili JF-Pesa? πAnaetaka kunitumia hela aniambie nimfungulie
Hii thd pia aione Bantu LadyThe Icebreaker umeuona huu Uzi kweli?
Wanafunga pm za nnKi vipi mkuu?
Hawataki kusikia sera za mabahariaWanafunga pm za nn
Nimeiona, watu wachokozi tu. pm za watu za nini? Wakati hapa jukwaani unachat utakavyo π π π π π π πHii thd pia aione Bantu Lady
π€£π€£π€£ Jf pesa tena...watu wachoyo utawajua tuFungua aisee ntakurushia. Hivi siumejisajili JF-Pesa? π
Kuna mengine ya chumbani, hayaongelewi kwenye kuku wengiNimeiona, watu wachokozi tu. pm za watu za nini? Wakati hapa jukwaani unachat utakavyo π π π π π π π
πππ jiandae kwa makelele yaoPm kufunga acha wafunge tu lakin most of them ni bitches
Wanafunga huku wakitegemea miujiza π π πMliofunga PM zenu jaribuni kuzifungua mnakosa mema ya nchi.