Kufunga PM ni uoga na kutokujiamini.

Wacha bwana!! Kumbe umefunga, hivi ukifunga hautakiwi kutumia na za wenzio si ndio?
Mwenye shida ya dhati atajua nini cha kufanya.

Ndio maana waliweka kufuli wanaotaka wafunge. Na mimi ni miongoni mwa waliofunga. Nafikiri sijavunja masharti ya JF.
Uko salama lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…