Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha , 'eti kukwepa kusumbuliwa'Nina wasiwasi wapo mademu wamefunga PM sasa imewaudhi wengi sana. Hata hivyo wengine sio kwamba wanasumbuliwa au nini wanaamua tu kufunga PM ili nao waonekane wanafunga eti kukwepa kusumbuliwa,
Hahahaha, kiwango cha kutuma kiwe kuanzia elf 50 na yakutoleaMaxence Melo tuanzishie JF PESA transfer iwe inafanyika PM tu halafu tuone kama hizo PM zitakuwa zinafungwa muda wote.
Kama wengine wanaokuja huko. Na mimi kucheza dansi.Ndio nyie mnafunga kufuri huko. Hapo tu unatamani unipige pin.Uje kufanya nini
Hahahaha ,safi sanaNaanzaje kufunga
Wewe mzee mbona umefurahi hivyoHahahaha ,safi sana
Ndio nilikotoka huko mkuu. Kuna mechi kali leo huko usipime[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hufiki mbinguni wewe
Hakuna hata anayekujaKama wengine wanaokuja huko. Na mimi kucheza dansi.Ndio nyie mnafunga kufuri huko. Hapo tu unatamani unipige pin.
Hahahha inabidi tufunge tu hakuna namnaHahahahaaa. Hapo sawa Dada ake.
Yabidi na sisi tufunge PM Dada. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaha, km ni kweli hayo usemayoWewe mzee mbona umefurahi hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hufiki mbinguni wewe
Wewe mzee mbona umefurahi hivyo
Hivi unakumbuka yule amenitumia pm eti ananitaka nilale nae anipe 1M?
Hahahah namkumbuka alirudi tenaHivi unakumbuka yule amenitumia pm eti ananitaka nilale nae anipe 1M?
I think ni kaproject wanafanya maana wanawatumia wengi tu hivyo.
Hahhaha auntie na wewe alishakutumiaI think ni kaproject wanafanya maana wanawatumia wengi tu hivyo.
Ni kweliHahahaha, km ni kweli hayo usemayo
Hahahah namkumbuka alirudi tena
Hahahaha, inapendeza wasalimie mabahariaNi kweli
Sijibu pm mimi kwahiyo salaam zako hazifikiHahahaha, inapendeza wasalimie mabaharia