Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

Dadi Barnea

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
746
Reaction score
1,512
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.

Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?

Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?

Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?

Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
 
We ni mpumbavu sana
 
Haya mababa kutaneni tena TEC kurasini! Tuone Mbwa atakayewafuata
 
Makeyboard warriors tupo wengi, zaid ya milion 60 nadhani wadanganyika woyiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…