Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

WAKIRISTO TUNASHAMBULIWA , MUISLAM ANATAKA KUUMALIZA UKIRISTO
 
W
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.

Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?

Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?

Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?

Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
We ni lijinga sana. Mimi ni muumini wa Roman Catholic ila hapa umeandika upumbavu
 
Dalili ya udini na ukabila aliyowahi kuzungumzia Hayati J.K.N inaenda kutimia
 
Hao waumini wa kanisa la Gwajima wahamie kanisa lingine wakafanye ibada zao hakuna mtu wa kuwazuia

Ila huyu Mr inabiidi aombe sana Mungu la sivyo
 
Nakukumbusha tu mtoa mada kwamba Shekhe panda alipigwa risasi,Je na yeye alikuwa mkristu? Hakuna serikali ikaona kuna viashiria vya uvunjifu wa amani kupitia dini halafu ikakaa kimya,Yakitokea machafuko hata wewe muda wa Kuja kuandika humu hutaupata.
 
Hayajafungiwa makanisa acha kupotosha. Limefungiwa kanisa la Gwajima linalofanya siasa badala ya kutangaza injili.
 
Hiyo vita ya dini ndio tunaitaka. ******* nyie turuke na nyie vizuri. Unamtisha nani? Waislamu pia hii nchi ni yao. Kama vipi tugawane kila mtu kipande chake. Mmezoea sana kutupanda kichwani.
Aisee umeandika kipumbavu sana na nimecheka kijinga sana
 
Kulifungia kanisa ni sawa na kuuza bible dubai.
Hili la Gwajima, linatualika sisi wakatoliki, CCT na CPCT kuungana kama kipindi cha katiba mpya, tuanze kuongea lugha moja

Baba Askofu shoo, na Baba Askofu Wolfgang Pissa, simamieni imani ya kikristo vyema.
Katika nchi yetu ukristo unanyanyaswa. Na ukristo unashambuliwa. Tuseme inatosha.
Aliumizwa Fr. Kitima, na leo Kanisa la ufufuo na uzima limefungwa. Je tunasubiri nini kitokee ndipo sisi wakristo tuamke??
John Magufuli pamoja na ugonvi wake na Askofu Kakobe pamoja na Askofu Niwemugizi lakini hakudhubutu kufungia kanisa.
Viongozi wetu wa CCT, TEC na CPCT itisheni mkutano mkuu myajadili haya na mtutoe msimamo, sisi waumini wenu tutawafuata yale mnayotueleza.
Hili jambo sio dogo mkuu serikali inaingia come back yake inaweza kuwa ya kutisha
 
1. Father Charles Kitima alikuwa mstari wa mbele kupigania HAKI katika Taifa hili, akashambuliwa na wasiojulikana.
2. Askofu Bagonza naye amekuwa mtetezi mzuri sana wa haki katika Nchi hii, alitishiwa maisha.

3. Bishop Gwajima aliposimama tu imara kupinga utekaji, Kanisa lake limefungiwa.
4. Wanasiasa wa upinzani wanapopiga kelele kupinga udhalimu katika Nchi hii, wanabambikwa kesi, wanatishiwa kufutiwa usajili wa chama pamoja na kufutiwa Ruzuku na madhira mengine.

Yanapotokea haya, Watanzania msilie bali furahini na kumshukuru Mungu mkuu. Kwani hizi ni njia za kuelekea kwenye UKOMBOZI kamili wa Taifa hili.

Utukufu na ukuu una yeye Bwana hata milele na milele. Amina.
 
Kashaisha huyo, hafaki October na wote wanaompa huu ushauri feki watamkimbia.

No Elecrion...ndiyo hiyo inazidi kupamba moto.
 
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.

Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?

Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?

Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?

Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
ni hatari sana .tushukuru tu kwamba hii ishu haihusiki na mskiti,kingewaka moto nakwambia.ebu tuvute subra tuache maamzi ya hasira.tunaweza kujikuta kama gaza
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote tumesema HATUTAKUBALI.
Uyo CHURA a.k.a Dalali MKUU avuke tena mpka
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.

Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?

Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?

Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?

Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
Umejaa chuki na uasi
 
Teh teh teh teh .

Tunaomba radio Maria watangaze habari hizi kwamba wakristo tunashambuliwa .
wakristo huwa hawana mihemko na jazba hata uwafanyie ubaya gani, ila muziki utakuwa mnene na utashindwa kuucheza
 
Back
Top Bottom