Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.
Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?
Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?
Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?
Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉