Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
AiseeKama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.
Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?
Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?
Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?
Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
😀😀ngoma iwe drooPachangamke hivyo hivyo.... wafungie na RC kabisa....
Sumu haionjwiPachangamke hivyo hivyo.... wafungie na RC kabisa....
CCM ni nini? Inamilikiwa na akina nani? Nani anatoa amri ya mwisho kwa CCM?Msiende huko wadau, tatizo ni CCM, msiweke dini
Utapofikira kufungia RC maana yake umesema hakuna Ukristo Tanzania na unakuwa mwisho wa shule,Hospitali,vituo vya yatima,miradi ya umeme na maji,Bank,Vyuo vikuu,Mashirika yaani kwa kufupi ni kuwa kutoka serikali kuna Kanisa Katoliki.Halafu kabla ya sheria kanisa lilishakuwepo.Pachangamke hivyo hivyo.... wafungie na RC kabisa....
Na wajue hatutakubali SS waendelee kugusa Imani kisa eti Imani nyingine Iko madarakaniKama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.
Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60 plus million people…do you honestly think utawamaliza hawa?
Unafunga viongozi wetu wa kisiasa na vyama vyetu, umeona haitoshi umeelekeza kilemba chako sasa Makanisani, unajikuta nani kwa mfano?
Nikwambie tu wala hutoboi; our very own son of the soil mwenyewe yalimshinda, sembuse wewe usiyepajua Ngara ama Kyerwa ama Namtumbo?
Nikwambia tu unatikisa meza ya vinywaji vya gharama sana Mama, HUTOBOI NAKUAPIA, nimekaa pale👉
Wanatuchukulia poa snWakristo tunaonewa,Pemba mmekataa kanisa lijengwe yaan mmeandamana kabisa ...huku nako mmempiga Kitima na sasa mmefungia kanisa la Gwajima.Aisee
Unasshau taasisi inayoongozwa na Issa Ponda imefungiwa mbona huja SEMA kituSamia fungua kanisa la gwajima acha ubaguzi
Mbaya zaidi, akili hana!Huyu maza ni katili haswa
Sisi tutatafute HAkI (MUNGU) bila kuangalia makanisa au misikiti (dini).Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza.