Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoa mada unajua maana ya ndoa takatifu kweli?Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti.
Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo".
Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo kufungisha ndoa watu ambao tayari walishazini. Namaanisha zile harusi ambazo tayari bibi harusi ni mjamzito.
Kabla sijaandika huu uzi ilibidi nisome kwanza biblia kujiridhisha kama kuna sehemu iliruhusiwa watu kupeana tamu kabla ya ndoa. Biblia nzima hakuna sehemu iliyoruhusu hilo jambo. Sikuishia hapo nikasoma katiba ya nchi sikuona.
Nikasoma pia rasimu ya Warioba sikuona. Nikasoma katiba na ilani ya chama cha Mapinduzi pia sikuona ikiruhusu. Hata kwenye katiba ya Chama Cha Mbowe hawajaruhusu uzinzi kabla ya ndoa.
Nimebaki najiuliza hawa viongozi wa dini kwanini wasikemee hili jambo na kuweka ugumu kwenye kufungisha ndoa za watu wa namna hii? Hawaoni wanachangia mmomonyoko wa maadili kwa kuhalalisha uzinzi kabla ya ndoa?
Biblia imesema wazi kwamba kuliko kuwaka tamaa bora mtu aoe. Ila haijasema ukafanye tu ngono kupunguza tamaa zako.
Ninawasihi viongozi wangu wa kikristo wajirekebishe pale walipokosea badala ya kuendelea kufumbia macho uzinzi kabla ya ndoa. Hata kama hizo ndoa zinanufaisha kanisa kiuchumi tuzikatae au tuweke utaratibu mgumu.
Imeshafikia sehemu vijana wakipendana lazima wakulane hapohapo. Hata hapa JF kuna uzi wa kula tunda kimasihara.
Sijui.Mtoa mada unajua maana ya ndoa takatifu kweli?
Mwenye mimba ana ushahidi usiotia shaka.Kwa hiyo shida ni wenye mimba tu, je wanaofunga ndoa na wanazini Ila kwa kutumia condom au kwa kutumia vidonge vya majira, wao wanastahili wafungishwe sababu hawana mimba. Huoni utaratibu huo unawabana wanaozini wachache na kuruhusu wengine? Mimi naona makanisa yaendelee kufungisha ndoa, hukumu tumuachie Mungu, yeye anaona na atatenda haki
Wewe kolo ficha ujinga wako!Kuna couple zilikuwa zimepanga kufunga ndoa kwenye dhehebu la moravian
Kama kawaida ya wakristo maandalizi ya ndoa na pilikapilika za michango unakuta inachukua miezi kibao mpaka kufikia siku ya ndoa.
Ilikuwa mwezi wa tatu wameanza kutangaza ndoa yao itafungwa mwezi wa 9 ili kuwapa watu muda wa kujipanga waweze kuchangia.
Mwezi wa 9 unafika siku ya harusi pastor anashangaa kuona kibendi jwa bibi harusi. Pastor akawatolea nje akasema hii ndoa sifungishi maana tayari mshazini.
Wanandoa watarajiwa ikabidi waende Roman kule wakapokelewa na kuanzia hapo ndio wakawa rasmi waumini wa dhehebu hilo la Roma
Bora wenye mimba kuliko waliofanya abortion na anal sex (kwa mpalange) kukwepa mimba waonekane siyo wazinzi siku ya harusi. Kama unataka kupiga vita uzinzi maharusi wapimwe ubikra na marinda kabisa kabla ya ndoa siyo kuwaandama wajawazito tu. Unakuta bi harusi amedanga na wanaume 200 na katoa mimba 50 ila anaonekana mtakatifu kuliko mwanamke aliyekuwa na boyfriend mmoja akanasa mimba na kuolewa jamii inamshambulia mzinziNawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti.
Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo".
Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo kufungisha ndoa watu ambao tayari walishazini. Namaanisha zile harusi ambazo tayari bibi harusi ni mjamzito.
Kabla sijaandika huu uzi ilibidi nisome kwanza biblia kujiridhisha kama kuna sehemu iliruhusiwa watu kupeana tamu kabla ya ndoa. Biblia nzima hakuna sehemu iliyoruhusu hilo jambo. Sikuishia hapo nikasoma katiba ya nchi sikuona.
Nikasoma pia rasimu ya Warioba sikuona. Nikasoma katiba na ilani ya chama cha Mapinduzi pia sikuona ikiruhusu. Hata kwenye katiba ya Chama Cha Mbowe hawajaruhusu uzinzi kabla ya ndoa.
Nimebaki najiuliza hawa viongozi wa dini kwanini wasikemee hili jambo na kuweka ugumu kwenye kufungisha ndoa za watu wa namna hii? Hawaoni wanachangia mmomonyoko wa maadili kwa kuhalalisha uzinzi kabla ya ndoa?
Biblia imesema wazi kwamba kuliko kuwaka tamaa bora mtu aoe. Ila haijasema ukafanye tu ngono kupunguza tamaa zako.
Ninawasihi viongozi wangu wa kikristo wajirekebishe pale walipokosea badala ya kuendelea kufumbia macho uzinzi kabla ya ndoa. Hata kama hizo ndoa zinanufaisha kanisa kiuchumi tuzikatae au tuweke utaratibu mgumu.
Imeshafikia sehemu vijana wakipendana lazima wakulane hapohapo. Hata hapa JF kuna uzi wa kula tunda kimasihara.
Mbona unajichanganya tena na post yako ya awaliKuna sehemu kwenye biblia wamesema tusipeane tamu kabla ya ndoa? Nitoe matongotongo tafadhali...nipo hapa kujifunza
Sijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.Mbona unajichanganya tena na post yako ya awali
Umemaliza kila kitu.Akishajifungua wakafunga ndoa ndio itakuwa takatifu? Kama tunahitaji utakatifu basi watu wasigegedane kabla ya ndoa. Wafunge ndoa wote wakiwa hawajawahi kufanya tendo.
Mengine yote ni unafiki tu
kaka kikubwa kwenye maisha sio kuwa mtu unapenda kufanya hivo ni maisha na changamoto zake kiongozi wangu,binadamu tunapitia mengi sana kaka na muda mwingine tunatakiwa kufanya maamuzi magumu na sahihi kwa wakati mmoja bila kulalamika au kusema lolote lile,kiufupi endelea kuona hivo ila kuna siku maji yakifika shingoni utajua kwann kanga ana manyonyaNawasalimu katika jina la chama pendwa CCM.
Leo nimekuja kitofauti.
Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo".
Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo kufungisha ndoa watu ambao tayari walishazini. Namaanisha zile harusi ambazo tayari bibi harusi ni mjamzito.
Kabla sijaandika huu uzi ilibidi nisome kwanza biblia kujiridhisha kama kuna sehemu iliruhusiwa watu kupeana tamu kabla ya ndoa. Biblia nzima hakuna sehemu iliyoruhusu hilo jambo. Sikuishia hapo nikasoma katiba ya nchi sikuona.
Nikasoma pia rasimu ya Warioba sikuona. Nikasoma katiba na ilani ya chama cha Mapinduzi pia sikuona ikiruhusu. Hata kwenye katiba ya Chama Cha Mbowe hawajaruhusu uzinzi kabla ya ndoa.
Nimebaki najiuliza hawa viongozi wa dini kwanini wasikemee hili jambo na kuweka ugumu kwenye kufungisha ndoa za watu wa namna hii? Hawaoni wanachangia mmomonyoko wa maadili kwa kuhalalisha uzinzi kabla ya ndoa?
Biblia imesema wazi kwamba kuliko kuwaka tamaa bora mtu aoe. Ila haijasema ukafanye tu ngono kupunguza tamaa zako.
Ninawasihi viongozi wangu wa kikristo wajirekebishe pale walipokosea badala ya kuendelea kufumbia macho uzinzi kabla ya ndoa. Hata kama hizo ndoa zinanufaisha kanisa kiuchumi tuzikatae au tuweke utaratibu mgumu.
Imeshafikia sehemu vijana wakipendana lazima wakulane hapohapo. Hata hapa JF kuna uzi wa kula tunda kimasihara.
kiukweli kwanza mjadala uwe wa kijamii na sio wa kidini kwa kuwa biblia ina upana wake na hatuwezi kwa akili zetu kuchambua,ila nadhan changamoto za jamii ndo zinatupeleka paleSijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.
Kwanza watu wa kwenye biblia walikuwa hawafungi ndoa wanabebana tu
kwanza jitafakari ulichoandika alafu utajua uko sawa au lahKwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
kikubwa ni changamoto za dunia...muda mwingine unakuta mwenzako anakwambia mm mjamzito utamwambia toa,na hata bora hao wanafunga ndoa ,kuna wengine wanazaa hata watoto 10 na ndoa hakuna utasemaje hapo??maisha humfanya mtu aamue tofauti na kufanya jambo tofauti piaSheikh wangu hata huku kwa wavaa kubazi ikitokea hivyo wanadai kuwa
haramu haiwezi kuzuia jambo la halali/heri kufanyika maana siku zote baya hufutwa kwa jema.
Wabillah tawfiq
Jibu vyovyote vile mkuu,furahisha nafsi yako. Kama matusi yatafurahisha nafsi yako poromosha tu uondoe gubu lililokukabaLeo nimefunga sijisikii kukujibu vibaya wewe kenge mwenye makengeza.
Ha haaa inashangaza, na tumeambiwa nendeni mkaijaze duniaKwani mimba dhambi?
Ha haaa inashangaza, na tumeambiwa nendeni mkaijaze duniKwani mimba dhambi?
Mjadala hauwezi kuwa wa kijamii maana imeongelewa kufunga ndoa kanisani. Pia tukija kwenye jamii kila mtu ana dini yake lazima ataongea kulingana na dini yakekiukweli kwanza mjadala uwe wa kijamii na sio wa kidini kwa kuwa biblia ina upana wake na hatuwezi kwa akili zetu kuchambua,ila nadhan changamoto za jamii ndo zinatupeleka pale