Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

Ha haaa inashangaza, na tumeambiwa nendeni mkaijaze duni

Mjadala hauwezi kuwa wa kijamii maana imeongelewa kufunga ndoa kanisani. Pia tukija kwenye jamii kila mtu ana dini yake lazima ataongea kulingana na dini yake
Ngoja ukutane nayo..tutajua utaamuaje kwa upande wako
 
Mi naona wawafungishe tu kuliko kuwaacha waendelee kuzini.
 
Sijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.
Kwanza watu wa kwenye biblia walikuwa hawafungi ndoa wanabebana tu
Basi njoo tubebane na sie....mie nimekuhamu🤣🤣🤣🤣
 
Sheikh wangu hata huku kwa wavaa kubazi ikitokea hivyo wanadai kuwa
haramu haiwezi kuzuia jambo la halali/heri kufanyika maana siku zote baya hufutwa kwa jema.
Wabillah tawfiq
Ona huyu naye kaanzisha mambo ya udini!
Kwani mtoa mada anasema uongo?
 
Acha kuwa mjinga utaliwa, kutesti mitambo ni muhimu.
 
Mimi sio msemaji. Waone viongozi wako wa dini kwa ufafanuzi zaidi.

Si umesema umesoma Biblia kabla ya kuleta hii unayoita hoja?

Onesha ni kitabu gani kimeelezea hiyo kufunga ndoa.
 
Sawa, ndoa itafungwa ila mtoto aliyekutwa na ndoa tumboni hahesabiki kuwa ni mtoto wa ndoa na hapati haki ya kumrithi baba yake.

Watoto watakaofuata ndio watakuwa watoto ndani ya ndoa.
Kwani kisheria ya kislam mimba inanza kuhesabika ni kiumbe yaani ni mtoto ikiwa na miezi mingapi...?
Halafu nenda ukasome historia ya Nabii Ibrahim (A.S) kisha uje kuniambia kama alimpa au hakumpa mirathi mtoto wake wa nje...?
 
Back
Top Bottom