Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

Kwa hiyo shida ni wenye mimba tu, je wanaofunga ndoa na wanazini Ila kwa kutumia condom au kwa kutumia vidonge vya majira, wao wanastahili wafungishwe sababu hawana mimba. Huoni utaratibu huo unawabana wanaozini wachache na kuruhusu wengine? Mimi naona makanisa yaendelee kufungisha ndoa, hukumu tumuachie Mungu, yeye anaona na atatenda haki
 
Mtoa mada unajua maana ya ndoa takatifu kweli?
 
Mwenye mimba ana ushahidi usiotia shaka.
 
Wewe kolo ficha ujinga wako!

Ndoa ya kikatoliki rahisi kihivyo kama unavyojidanganya!

Kwanza wanandoa watarajiwa kama sio wakaliki lazima wasomee miaka mitatu ndio waanze kupata ubatizo kitubio kominio kipaimara baada ya hapo ndio hufuata sakramenti ya ndoa takatifu!

AMA KWELI RAGE HAKUKOSEA "MASHABIKI WA SIMBA NI MBUMBUMBU![emoji23][emoji23]
 
Bora wenye mimba kuliko waliofanya abortion na anal sex (kwa mpalange) kukwepa mimba waonekane siyo wazinzi siku ya harusi. Kama unataka kupiga vita uzinzi maharusi wapimwe ubikra na marinda kabisa kabla ya ndoa siyo kuwaandama wajawazito tu. Unakuta bi harusi amedanga na wanaume 200 na katoa mimba 50 ila anaonekana mtakatifu kuliko mwanamke aliyekuwa na boyfriend mmoja akanasa mimba na kuolewa jamii inamshambulia mzinzi
Ridiculous
 
Kuna sehemu kwenye biblia wamesema tusipeane tamu kabla ya ndoa? Nitoe matongotongo tafadhali...nipo hapa kujifunza
Mbona unajichanganya tena na post yako ya awali
 
Mbona unajichanganya tena na post yako ya awali
Sijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.
Kwanza watu wa kwenye biblia walikuwa hawafungi ndoa wanabebana tu
 
Akishajifungua wakafunga ndoa ndio itakuwa takatifu? Kama tunahitaji utakatifu basi watu wasigegedane kabla ya ndoa. Wafunge ndoa wote wakiwa hawajawahi kufanya tendo.
Mengine yote ni unafiki tu
Umemaliza kila kitu.
 
kaka kikubwa kwenye maisha sio kuwa mtu unapenda kufanya hivo ni maisha na changamoto zake kiongozi wangu,binadamu tunapitia mengi sana kaka na muda mwingine tunatakiwa kufanya maamuzi magumu na sahihi kwa wakati mmoja bila kulalamika au kusema lolote lile,kiufupi endelea kuona hivo ila kuna siku maji yakifika shingoni utajua kwann kanga ana manyonya
 
Kwani mjamzito hsruhusiwi kufunga ndoa.mbona mimi nilifunga na mimba na haikuwa ya bwanaharusi hata
 
Sijajichanganya. Nawauliza hawa wanaorefer biblia watueleze. Kitabu kipi kimeeleza tusifanye tendo kabla ya ndoa. Hizi ni sheria za zimewekwa tu na sie wenyewe.
Kwanza watu wa kwenye biblia walikuwa hawafungi ndoa wanabebana tu
kiukweli kwanza mjadala uwe wa kijamii na sio wa kidini kwa kuwa biblia ina upana wake na hatuwezi kwa akili zetu kuchambua,ila nadhan changamoto za jamii ndo zinatupeleka pale
 
Sheikh wangu hata huku kwa wavaa kubazi ikitokea hivyo wanadai kuwa
haramu haiwezi kuzuia jambo la halali/heri kufanyika maana siku zote baya hufutwa kwa jema.
Wabillah tawfiq
kikubwa ni changamoto za dunia...muda mwingine unakuta mwenzako anakwambia mm mjamzito utamwambia toa,na hata bora hao wanafunga ndoa ,kuna wengine wanazaa hata watoto 10 na ndoa hakuna utasemaje hapo??maisha humfanya mtu aamue tofauti na kufanya jambo tofauti pia
 
Kama tayari wameshafanya tendo la ndoa tayari wapo Kwenye ndoa tendo la ndoa ni kifungo ramsi cha ndoa kiasili. Hizo za kanisan ni taratibu tu na desturi zetu dini ilizi iba Kwenye tamaduni zetu za asili.
 
Leo nimefunga sijisikii kukujibu vibaya wewe kenge mwenye makengeza.
Jibu vyovyote vile mkuu,furahisha nafsi yako. Kama matusi yatafurahisha nafsi yako poromosha tu uondoe gubu lililokukaba
 
Kwani mimba dhambi?
Ha haaa inashangaza, na tumeambiwa nendeni mkaijaze duni
kiukweli kwanza mjadala uwe wa kijamii na sio wa kidini kwa kuwa biblia ina upana wake na hatuwezi kwa akili zetu kuchambua,ila nadhan changamoto za jamii ndo zinatupeleka pale
Mjadala hauwezi kuwa wa kijamii maana imeongelewa kufunga ndoa kanisani. Pia tukija kwenye jamii kila mtu ana dini yake lazima ataongea kulingana na dini yake
 
Wenye mimba na waliozalishana hawafungi ndoa, wanabariki ndoa ili waendelee kukulana kihalali!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…