Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Baraka za Mungu hazinunuliwi Kwa pesa.

Watu hao washughulikiwe, ingawa pia Kwakuwa Serikali Haina dini, ni JUKUMU la viongozi wa Dini kuwatambua hao wahuni na kuwachoma serikalini Ili wachukuliwe hatua.
 
Alikuwa muuza kuku Buza ,anasema alinunua nguvu ya wachawi milioni 7

USSR
Watu wanaonywa Makanisani wawaepuke hao wapigaji lakini hawasikii ngoja wapigwe. Hosea 4: 6 inaonya kabisa "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Makanisani wanafundishwa jinsi ya kuwatambua hao watu lakini wanaziba masikio wacha wapigwe.
 
Kweli lakini huduma yako ikiwa inadumaza fikra za watu lazima ufungiwe.
Njia sahihi kwa mujibu wa maandiko ni watu kuitafuta kweli wenyewe. Kimsingi huduma nyingi sana ziko kinyume na maandiko, sema nyingine zimekiwa extreme. Serikali haina mamlaka ya kiroho kuamua nani ana hubiri kweli na nani anasema uongo, hiyo ni standard ya neno pekee. Labda kama serikali yetu ina dini.
 
Tupe sasa siri mnofu kidogo jinsi mafauta ya manemane yanafanya kazi ...
 
Tupe sasa siri mnofu kidogo jinsi mafauta ya manemane yanafanya kazi ...
Hapo sasa ndio penyewe tena umenikumbusha inabidi niweke Bango lenye Namba ya Muamala hapa mchange change Sadaka kwanza kuna wale mafala mafala wa JF wachangie changie Sadaka maana JF kuna mafala na hawaishi na lazima watachangia sasa nikiona zimetosha ndio nawapa Siri ya Mafuta ya Manemane, au hapo unasemaje?
 
Hao sio mafala ila ni binadam walio na utu ndani yao.Fala ni ww sasa mwenye shida ukiyedanganya maana mtoaji Katoa kwa moyo wa upendo ww mpokeaji ndo unabeba mikosi.Msifanye watu tushindwe kusaidia watu wenye shida kisa kuna waongo.Pia kumbuka kumsaidia mtu sio ufala.
 
Kwa hio Mwoposa anakusaidia au unamsaidia?
 
Sijaelewa sababu zilizomfanya yeye huyo kiboko ya wachawi kufungiwa!


Wizi kwa njia ya ulaghai,
Wizi wa kuaniniwa.
A.k.a. Utapeli

Unaelewa maana yake?

Kazi ya msingi ya jeshi la polisi ni kulinda raia na mali zao.

Fedha wanazokwapuliwa watu kwa kigezo cha sadaka anayo kimsingi haikupaswa kupangiwa kiasi ni wizi kwa njia ya ulaghai?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…