Uchaguzi 2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

Hata matukio ya polisi uliyaangalia kwa jicho la kijasusi ni km wameuchoka utawala huu wa mabavu kuna vitu wanafanya makusudi ili wananchi wakinukishe na wao wawasapoti.....
True huwa nawaambia watz si kwamba polisi wanaipenda ccm ufanya matendo haya ya kuumiza wapinzani ili ccm izidi kuchukiwa na wananchi.
 
Hukuona kampeni yake jana huko pwani na leo kariakoo? Au kwako kampeni ni ipi?
 
FANYA KAZI KWA BIDII SIO MAGUFULI WALA LISU ATAKAYE KULETEA MAENDELEO.
hakuna sehemu yenye Vita wanapoishi kwa kula raha
Pumbavu kabisa nchi zote zilizoendelea serikali iliwaletea mafanikio..mshamba mmoja..pengine muhamiaji haramu wenzako 28 wamekamatwa Tabora
 
Sikushangaa kusikia Lisu kufungiwa siku zote hizo We know that Magu is a guilt people the guilt people can never hide it or admit it.
 
Kwa jinsi unavyomsifia hata akijiharishia hadharani utaona ni advantage kubwa sana kwake. Akili zenu kama mende au kunguni vile. Bora hata panya ana afadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…