Slavery mentality!Kama mnamhitaji Amsterdam mtampata tu waulizeni Nigeria, Belarus watawaambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slavery mentality!Kama mnamhitaji Amsterdam mtampata tu waulizeni Nigeria, Belarus watawaambia.
Sisi tulocheza kungfuu, tumejifunza kuwa kama adui yako ana uwezo mkubwa, siraha ya kwanza ni kumuudhi ili apandishe hasira.Lissu huo mtego aliutega kipindi cha mda mrefu sana naona CCM wameshaingiza mguu.
Nimesema kama mnamhitaji Amsterdam mtampata.kwa hiyo Tanzania siku hizi inatumia wazungu katika sheria na utawala, hatutungi sisi inamaana tunatumika na wazungu
Kifupi ni kwamba jiwe yuko peke yake ni suala la muda tu, maana ukiangalia yale mabomu ya polisi ndio kabisa unajua police wako upande gani, sasa hizo barua ndio usiseme, sema kwa vile jiwe hana akili hili halioni kwamba tayari yuko peke, hata amini macho yake siku ya kupiga kura. Ukitazama mambo kwa jicho la tatu utaona kuna mambo yanafanywa lengo ni kusogeza muda.Kuna wakati najiuliza hii mitego ya TL huwa hawaioni au wanafanya makusudi tu kumridhisha Mkuu wakati wakijua kuwa wanamtengenezea njia TL? siamini kuwa hiyo huwa ni bahati mbaya
Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Kichwa kigumu kile,NEC wenyewe wamejitetea kuhusu hilo.wamedai sio wao waliomfungia Bali kamati ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi.Punguza jaziba mkuu.TL hawamuwezi,temu hii mtakaa sawa.Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.
Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Yaonekana umelipwa pekeyako Leo buku 7 hapo lumumbaPiga spana kwa Wasaliti wa Nchi
Lissu atapigiwa kura na robert [emoji38][emoji38]
Hahaaaa uchumi wa hapo kati au sio? Hata mimi naona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kura zote kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Mfariji wa Watanzania
Aliyetupeleka uchumi wa kati
Heshima haitafutwi kipindi cha kampeni. Alikua na nafasi miaka mitano yote. Aliamua kuichezea hiyo ni shauri yakeHeshima kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Ndio maana uka tiwa changa la macho na kagame tirioni 2.5 kagame kakuzika mpaka Leo urafiki wenu umeharibika chezea kagame mtoto wa mjini wwMimi sio msaliti wa Nchi
Bila shaka huu uzi alishauosoma. Ingawa najua Lissu ni mtu Bright sana pengine haya yote anayajua. Nadhani Lissu hata endeea na kampeni ila anasema vile kuwatia jambajamba maadui zake. Ni mtu makini mno.Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Vya mshamba huliwa na wa mjini. Magu mshamba sana.Ndio maana uka tiwa changa la macho na kagame tirioni 2.5 kagame kakuzika mpaka Leo urafiki wenu umeharibika chezea kagame mtoto wa mjini ww
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unatumia matako kusikia na ubongo wako umetolewa na kujazwa kamasi kichwani mwako. NEC haijampa adhabu Tundu ya kutofanya kampeni bali kamati ya maadili ya taifa. Ambayo wahusika wa kamati hiyo ni viongozi mbalimbali wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu. Ikiwa ni pa1 na chadema ndiyo waliyotoa adhabu hiyo kwa TunduPamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Hao viongozi wa vyama ni vivuli tu mhusika mkuu ni CCM through NEC.Unatumia matako kusikia na ubongo wako umetolewa na kujazwa kamasi kichwani mwako. NEC haijampa adhabu Tundu ya kutofanya kampeni bali kamati ya maadili ya taifa. Ambayo wahusika wa kamati hiyo ni viongozi mbalimbali wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu. Ikiwa ni pa1 na chadema ndiyo waliyotoa adhabu hiyo kwa Tundu
UKIMKOSOA TUNDU UNAFUNGIWA JF