Eti gharama za kusafirisha unga toka Ukraine au Sukari kutoka Brazil ni nafuu kuliko kulima ngano hapa Tanzania au miwa ya mtibwaHii Nchi Nyerere aliacha kwenye mikono ya Wahujumu Uchumi.
Taifa linahujumiwa.
Haiwezekani Unga wa Ngano uwe bei rahisi Ukisafirishwa kutoka Brazili kuliko uliolimwa Njombe.
Yaani Chapati unaila kwa unga kuoka Ukrain kwa bei nafuu lakini sio kwa Unga uliolimwa Tanga au Manyara
Hainiingii akilini hata kidogo.
Sukari ina process nyingi mno, na tupo nyuma kwenye kilimo cha aina yoyote ile, so. Sio mfano mzuri kwamba Sukari ikiwa na bei kubwa basi hatuwezi kutengeneza viwanda vya bei rahisi.OK lakini tatizo ni kubwa Sana tolea mfano Sukari wanaozalisha hapa gharama za uzalishaji ni juu ilhali wanalima hapa!!! Sasa nakubaliana nawewe lakini Siyo rahisi Kama ulivyosema una mtaji wa 200M inakuwa heri uagize bidhaa
Una mashine na eneo kama lao kulimia? Si kila kitu kinacholimwa nchi X basi kwetu kitastawi kwa ufanisi ule ule.Hii Nchi Nyerere aliacha kwenye mikono ya Wahujumu Uchumi.
Taifa linahujumiwa.
Haiwezekani Unga wa Ngano uwe bei rahisi Ukisafirishwa kutoka Brazili kuliko uliolimwa Njombe.
Yaani Chapati unaila kwa unga kuoka Ukrain kwa bei nafuu lakini sio kwa Unga uliolimwa Tanga au Manyara
Hainiingii akilini hata kidogo.
Ona sasa tunalima vitu ambavyo hatutumii. Mkonge na pamba.....hahahaaUna mashine na eneo kama lao kulimia? Si kila kitu kinacholimwa nchi X basi kwetu kitastawi kwa ufanisi ule ule.
Tunalima Pamba, Korosho, Mkonge, tumbaku, Mbaazi kwa ufanisi mkubwa tu, je Ukraine nao wanalia kama sisi kwa Nini Tanzania wanalima hivyo na wao hawawezi?
Afrika tuna shida sanaEti gharama za kusafirisha unga toka Ukraine au Sukari kutoka Brazil ni nafuu kuliko kulima ngano hapa Tanzania au miwa ya mtibwa
Niliweke sawa hilo. "Haiwezekani tuagize sukari toka Brazil wakati tunavyo viwanda vingi tu vya sukari hapa nchini". Sukari toka nje inapunguziwa kodi na pengine inaingizwa bure pasipo kutozwa kadi, wakati sukari ya ndani ina utitiri wa kodi.Hata kwenye Sukari, haiwezekani tuagize sukari Brazil wakati mapori ya kutosha yapo Tanzania
Hili nalo ni wazo zuri, wenzetu nchi ziliondelea wana hii kitu. Is why wanapiga hatua.Wangeajiri experts kutoka taasisi binafsi watu wa PWC, Delloite ,KPMG, EY au BCG waangalie mfumo mzima wa kodi waishauri serikali, tuache mikopo isiyo na tija tupunguze matumizi yasiyo ya lazima. Tuvutie uwekezaji wa Viwanda
Una uhakika hatutumii?Ona sasa tunalima vitu ambavyo hatutumii. Mkonge na pamba.....hahahaa
Serikali zote za duniani unazijua kwa kuwa umeishi huko ,umeziishi hizo serikali ,umefanya nazo shughuli ama ?!! [emoji1787][emoji1787]Huu ni ukweli usiopingika. Serikali ya kishetani ya CCM siku zote inawaza kukamua kodi tu. Sijawahi kuona serikali ya kiquma kama hii ya CCM hapa ulimwenguni.
Ndio maana mh.Rais SSH amekuja na 4 R's.....Baadhi ya viongozi wa ccm hawana nia njema na maendeleo ya taifa zaidi ya kuwaza uchaguzi na kutawala kwa maslahi yao na Familia zao.
Asante.1. Kibali cha ujenzi
2. Mamlaka ya maji
3. Tanesco
4. TRA
5. Leseni ya biashara
6. NEMC
7. OSHA
8. TBS
9. Fire and Rescue force
10. SIDO
List inaendelea
[emoji1787]Acha mkuu kuna project unataka maji, DAWASA hawataki kuunga mpaka uwahonge ,Tanesco hivyohivyo bahati Mbaya tunapoanza kupanga biashara hatuweki bajeti ya Rushwa!!
Shida ya watawala wa Tanzania matatizo wanayafahamu ila hawataki kuyatatua!!Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Huko sahihi ndio maana serikali inajenga soko kubwa Ubungo kwa ajili ya wachuuzi,, mgomi wa kariakoo uliendeshwa na wachuuzi.Uwezekano ni wafanyabiashara wakubwa wa uchuuzi either ni wanasiasa au ni washirika wa wanasiasa. Katika mazingira haya, wahusika hawataki stress za uzalishaji, wanataka pesa za chap chap. Ameleta yebo yebo amepakua hapo bandarini, wachuuzi wamenunua, ametengeneza faida. Mambo ya ajira hilo si kipaumbele, kipaumbele ni faida chap chap. Mazingira ya kisiasa yenyewe hayatabiriki, anaweza kuja raisi akaamua la kuamua kiwanda kikawa rehani.
Upo sahihi serikali inajisifu kujenga soko kubwa Ubungo kwa ajili ya wachuuzi, hata mgomo wa kariakoo uliendeshwa na serikali na wachuuzi.Uwezekano ni wafanyabiashara wakubwa wa uchuuzi either ni wanasiasa au ni washirika wa wanasiasa. Katika mazingira haya, wahusika hawataki stress za uzalishaji, wanataka pesa za chap chap. Ameleta yebo yebo amepakua hapo bandarini, wachuuzi wamenunua, ametengeneza faida. Mambo ya ajira hilo si kipaumbele, kipaumbele ni faida chap chap. Mazingira ya kisiasa yenyewe hayatabiriki, anaweza kuja raisi akaamua la kuamua kiwanda kikawa rehani.
Ni kweli kabisa Ndugu yanguNimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Tukiwa hoi bin taabanI
Ila tutafika tu