Smart Dude
Senior Member
- Sep 23, 2023
- 114
- 161
Mkuu ni kwa sababu tu Huna taarifa na umechagua kutokuzitafuta. Taarifa Mbona zote zipo wazi?Ukipata majibu lete mrejesho mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni kwa sababu tu Huna taarifa na umechagua kutokuzitafuta. Taarifa Mbona zote zipo wazi?Ukipata majibu lete mrejesho mkuu
Huwezi kuongoza mtu mwenye maendeleo kirahisi. Ili umtawale mtu lazima umnyime maendeleo hata ukimpelekea maji na umeme ataamini umemsaidiaBaadhi ya viongozi wa ccm hawana nia njema na maendeleo ya taifa zaidi ya kuwaza uchaguzi na kutawala kwa maslahi yao na Familia zao.
sawa, nataka kuimport mashine ya kutengeneza misumari, naomba unioneshe link ya kukadiria Kodi ,Asante kwa swali zuri,
Unachotaliwa kufahaku ni kuwa gharama kubwa kwenye utengenezaji wa nondo na bidhaa zake ni upatikanaji wa raw materials. Kwa sasa chuma tunakitoa Misri baada ya uzalishaji wa South Africa kutuma baada ya Covid. Chuma ni gharama na pia kina import duty kwa kuwa hatuko kwenye jumiya nayo Kama ilivyo EAC na SADC. Just to note, gharama za chuma ziliongezeka Dunian after COVID.
lakini unavyosema nondo zimepanda sana bei unamaanisha nini, against what, Je nondo kwenye nchi nyingine bei zake zipoje??? Haujui kuwa mfumuko wa bei duniani umeathiri bidhaa Karibia zote?
Mfano kuna mdau Jana alichangia kuhusu bei ya Sukari kuwa chini Malawi, lakini ukiangalia mwaka huu Malawi bei ya Sukari ilifikia kwacha 3800 ambayo ni Karibu 6000 ya TZ. na Bado average price ni Kwacha 2200 ambayo ni zaidi ya bei ya Sukari hapa kwetu. Bei ya mafuta TZ ni Ndogo Kuliko Kenya n.k ni muhimu watanzania hasa tulio Mitandaoni kutafuta taarifa sahihi kuhusu nchi yetu.
Kuwa specific mkuu usaidiwe, ni mashine gani, HS CODE yake ni ipi?sawa, nataka kuimport mashine ya kutengeneza misumari, naomba unioneshe link ya kukadiria Kodi ,
Wale wanazalisha for export only. Yaani angalau 80% ya products zao Lazima zile exported.Hivi kile kiwanda cha jeans pale EPZ (External Mabibo, Dar) wameshindwa/wamegoma kabisa kututengenezea jeans za hadhi yetu sisi waTZ ili angalau na sisi tupendeze kidogo?
Yes. Hoja yangu ni kwamba kwenye uwekezaji wao wangezalisha kiasi fulani kwa ajili ya soko la ndani. Sidhani kama wangepata hasara by creating such a niche market.Wale wanazalisha for export only. Yaani angalau 80% ya products zao Lazima zile exported.
Uko sahihi.Uwezekano ni wafanyabiashara wakubwa wa uchuuzi either ni wanasiasa au ni washirika wa wanasiasa. Katika mazingira haya, wahusika hawataki stress za uzalishaji, wanataka pesa za chap chap. Ameleta yebo yebo amepakua hapo bandarini, wachuuzi wamenunua, ametengeneza faida. Mambo ya ajira hilo si kipaumbele, kipaumbele ni faida chap chap. Mazingira ya kisiasa yenyewe hayatabiriki, anaweza kuja raisi akaamua la kuamua kiwanda kikawa rehani.
Man just give up, those information should be available in public sio kwa kusaidiwaKuwa specific mkuu usaidiwe, ni mashine gani, HS CODE yake ni ipi?
Taarifa zote mzee ziko online, ni kwamba haujui and you don’t want to learn. Makampuni yote düniani yana specific departments to navigate through these issues and for compliance purposes. Shida yetu Tanzania biashara tunafanya wenyewe utake kujua sheria wewe, marketing wewe, production wewe, kuagiza mzigo nje wewe, kulalamika mitandaoni wewe, nk Anyway All the best.Man just give up, those information should be available in public sio kwa kusaidiwa
hahaha Asante sana mzee, nimekuelewaTaarifa zote mzee ziko online, ni kwamba haujui and you don’t want to learn. Makampuni yote düniani yana specific departments to navigate through these issues and for compliance purposes. Shida yetu Tanzania biashara tunafanya wenyewe utake kujua sheria wewe, marketing wewe, production wewe, kuagiza mzigo nje wewe, kulalamika mitandaoni wewe, nk Anyway All the best.
Na wewe unaona ni kusaidiwa wakati hapa duniani kuna watu biashara zao ni hizi, kuna clearing and Forwarding agents, kuna consultants kibar n.k. Wameestablish biashara za maana out of this.