Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Hawa maCCM na machawa wao wanachezea moto aisee!
 
Bora uzi huu ungempa Mathayo Methuselah Mwita Hosianah aipandishe, kuliko wewe Hamad bin Juma hamid khatzrai, unawalig wakristu!.
 
Mimi nimeapa kulipua lile dangulo la Gwajima endapo serikali italeta upuuzi wa kulifungulia na hapo ndio utakuwa mwisho wa msamiati "amani" kutumika hapa nchini.
Ili unufaikeje wewe muabudu sanamu?
 
Kwani mgogoro wa gwajima na serikali mambo ya Sunday school yanauhusiano gani
 
Hawa maCCM na machawa wao wanachezea moto aisee!
Mimi sio muumini wa Demokrasia zenu za kipuuzi. Demokrasia ni mpango wa shaitwan tu, hivyo siungi mkono.

Sishabikii chama chochote cha siasa hapa nchini...kikubwa mmeelewa nilichowasilisha.

Maamuzi ni yenu kuanzia sasa, imma muendelee kuyafungia amani iendelee kuwepo au myafungue kwa kumhofia Gwajima tupate msiba wa taifa.

Maa salaam
 
Huwezi kufunga msikiti sababu Shehe amelawiti mtoto wa madrasa pia huwezi kufunga kanisa sababu mchungaji amembaka mtoto wa Sunday school.

Ukifunga msikiti au kanisa sababu ya Shehe na mchungaji ni matumizi mabaya ya akili, maarifa na mamlaka.
 
Taifa sasa LIMIKONONI MWA ROSTAM AZIZI MBUNGE WA ZAMANI WA IGUNGA
Huyu ni mtu hatari sana kuliko uhatari wenyewe.
ROSTAM AZIZ
 
Wapumbavu huwa wanafikiria hivyo, mbona Magufuli alipigwa spana na akina Tundu wakristu kwa wakristu mpaka wakaamua kummiminia risasi mchana kweupe makao makuu ya nchi. Dini hizi za kucopy kwa waarabu au wazungu zisiwatieni upumbavu. Spana zitampata Rais yoyote kutoka kwa raia yoyote bila kuangalia dini zake ili mradi yuko Ikulu. Kwani hizo spana anazo pigwa mwinyi zanzibar zinatoka kwa wazanzibari wakristu!?
 
Swali langu dogo tu, hivi kipindi cha jpm kuna muislam yeyote alijitokeza kukemea yaliyotendwa na Serikali ile?

Kama alijitokeza, je wakiristo walimkingia kifua rais wa awamu Ile?
 
WAKRISTO TUNAFUATA MUONGOZO WA MUHAMMADI...HAKUNA KUONGOZWA NA MWANAMKE ..JE WEWE UNASEMAJE
 

Attachments

  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
  • WATANZANIA HII VIDEO NI YENU WENYE MNATAWALIWA NA MMAMA UKO KWENU (1).mp4
    1.1 MB
Kisa ama sababu kuu ya Serikali kuyafungia makanisa ya Ufufuo na Uzima ni ipi? Hebu tusaidie mtoa hoja.
 
Ulivyo andika tu ina dhihirisha kweli mashehe mna lawitiwa
 
Kwamba serekali ilikuwa sahihi kufungia makanisa ya Gwajima? Au dini yenu ndio iliishauri serekali iyafungie hayo makanisa?
 
Hao hatuwawezi wametuzidi kilakitu ktk maisha na hii dunia. Wanajua tulipotoka tulipo na tunapokwenda.
Sisi tuendelee kupiga madufu kula tende na kunywa gahawa vijiweni
 
Kukamae.
 
Hao hatuwawezi wametuzidi kilakitu ktk maisha na hii dunia. Wanajua tulipotoka tulipo na tunapokwenda.
Sisi tuendelee kupiga madufu kula tende na kunywa gahawa vijiweni
Futa hiyo kitu kichwani mwako ndugu yangu.

Tupo wengi sana wenye utayari wa kuheshimisha waislamu hapa nchini.
 
daaaaah
Wallah una khaki katika imaaani
Alaa akibaru alaaa akibaru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…