Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

Hii ni nchale wa Jana kaongelea mifumo tu nchi nzima imesimama sasa Gwajima anakuja na clips kbc shauri yenu
 
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano (shamba darasa)
 
Futa hiyo kitu kichwani mwako ndugu yangu.

Tupo wengi sana wenye utayari wa kuheshimisha waislamu hapa nchini.
Unaweza ukawa na utayari ila huna uwezo huna maarifa huna nguvu huna ujuzi huna mbele wala nyuma.
Tukae tujijenge wenzetu hawakukurupuka kujiheshimisha kujipambanua kujiwekeza ktk mifumo maarifa na uchumi.
Sisi uswahili na blaah blaah tu ndio tunaweza
 
Hivi TCRA wako wapi lakini? Haya mambo mazito sana...naogopa mimi
Huyu atakua na mrengo wa wale watu walio leta ugaidi kibiti.

Kikitokea chochote basi mamlaka zianze na huyu maana hii chuki yake ni to the maximum.

Kwa manufaa mapana ya taifa jamaa ashuhurikiwe maana huyu ni radical muislim
 
Gwajima ana hoja za msingi lakini veggies wamekurupuka, na mimi natamani msiyafungulie ili awaripue..!!
 
We sheikh una uoni hafifu wa kufikiri mambo kwa upana wake. Kanisa la gwajima halina athari unazofikiria, ni kanisa dogo sana nchini. Linastahili kufunguliwa, sheikh usilete uislam wako, wakristo si wapuuzi wa kuanzisha udini kama nyie wenye imani kali
 
Novena bado siku 1. Nauona msiba mwingine wa taifa
 
Kwa akili hizi bado una safari ndefu sana.

Watanzania ni wanafiki sawa ila sio wapumbavu wenye chuki za kidini hivyo ni ndoto kufanana na hao watu wa hizo nchi ulizozitaja hapo.

Mi naona ni wewe bora uende huko kwa hao mnaofanana nao mtazamo ila huku hakukufai sisi kwetu kila mtu ana haki na uhuru wa kuabudu anachoamini.
 
Ya somalia, sudan na kwingine penye uislam wa kipuuzi usilinganishe na Tanzania. Tanzania ina mambo yake, ukileta udini utapuuzwa. Sheikh acha uchochezi, wakristo wakidai haki huwa wanadai haki za wananchi wote bila ubaguzi, usiichurie Tanzania machafuko ya kidini
 
Unamtishia gwajima ilihali umejificha kwenye jina bandia
 
Kwani Gwajiboy amesema zimebaki siku ngapi vile? Kanisa lisipofunguliwa mboga inamwagwa, ugali tayari umemwagwa jana
 
Ujisikiaje wenzio wanapokosa haki ya kumuabudu Mola wao.!? Usilete siasa kwenye mambo ya msingi kama ibada
 
Nyie mnamsimamo gan? Mkilishwa pilau mbuzi na ndiz mbivu unashushia na Pepsi barid mnasahau kila kitu!!!
 
Wewe sisi husitutishe karipue hata sasa hivi tena karipue RC kabisa.Huu ndio muda mzuri wa vita nyinyi waiteni waarabu (magaidi) na sisi tuwaite wakina Trump(makafiri), kila mtu aite master wake alafu zipigwe tuone mshindi nani?, atakaye shinda atawale mazima.Tushachoka upuuzi mana kila siku nyinyi tu
 
Oya kwanini muitiane watu? Zipigwe tu kavu kavu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…