Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

Kuna baadhi ya maprofesa wanasema wako tayari kuingia mzigoni na jumapili wataungana na mkuu wa mkoa kusherehekea kuitokomeza korona. Pia wameahidi kupata bia tatu tatu Mwananyamala kwa Mende ili kuunga mkono tako.
 
Kweli kusoma sio kuelimika
 
corona ni ugojwa mdogo sana ila unakuzwa na vyombo vya habari kupitia hofu ya ziada hiyo hofu inayo chochewa na watu flan wa siri ndio inayo sababisha madhara ya watu kufa mkiishinda hofu corona haina nguvu hiyo ndio fact hakuna corona bila hofu hofu ndio engine ya corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
walikuwa wanawabania vijana wasisogee ili wasibaki chuo wabaki wao mpaka vijana wakatafuta chaka lingine hivyo waache wapambane na hali yao
 
Kweli tathmini ifanyike kwa kina , yaani wazazi matumbo yanawaka moto kwa kufikiria hawa watoto kurudi vyuoni , naona bado watu umakini wa kujilinda na Corona ipo na anaesema haipo lbd hajaguswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHADEMA unawaambia nini?
Chadema hawana hati miliki ya maisha yangu.. kama wao wanataka kubaki home ni easy tu kama wako chuo waahirishe mwaka wataenda mwakani corona ikiisha au ikipungua.
 
Tu mafua tu, au jina la tu mafua ndo tatizo?
 
Kuna baadhi ya maprofesa wanasema wako tayari kuingia mzigoni na jumapili wataungana na mkuu wa mkoa kusherehekea kuitokomeza korona. Pia wameahidi kupata bia tatu tatu Mwananyamala kwa Mende ili kuunga mkono tako.
Kama wanaunga mkono TAKO ni sawa.
 
Wanaojua Series ya "The 100" wanaelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…