Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,244
Afi mtu na msuli unapigwa time will tell
Kwani hakuna njia za kujikinga na corona?Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee.
Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na wengine hukosa kabisa nafasi ya kukaa. Mgonjwa mmoja anatosha kuambukiza darsa zima kwa siku moja tu.
Waalimu wa vyuo waliowengi wako kwenye umri hatarishi kwa corona na hawa ndo watakaokutana na vijana ambao sasa watatoka majumbani kwao na kusafiri nchi nzima. Nionavyo waalimu jiandaeni kupigwa na corona.
Hili kidogo linasikitisha maana wanasiasa kule Bungeni na hata maofisini na huko ikulu, wanaogopa mikusanyiko lakini wako tayari kuwajaribia vijana wetu na wataalamu wetu kuanza kuchanganyikana kwenye madarasa ambayo hukusanyika kuliko daladala.
Wakati huo corona itakuwa imeisha?Hili swala la kufungua vyuo sijaliafiki, wangesubiri wafungue mwezi wa sita tarehe za mwisho...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuutadisco mchana kweupe labda kama unasoma TIA au TEKU
Cjui chema kwenu ni kitu gani na hao waliofungua huko Ulaya wakati wanakufa kwa ma 1000Kama kweli Rais kadhamiria kufungua vyuo bila kuangalia hali halisi ya ugonjwa huu, basi waalimu vyuoni jiandaeni. Taarifa tunazofahamu ni kwamba Vijana wanapambana na ugonjwa huu vizuri zaidi kuliko wazee.
Madarasa ya vyuo vyetu ni kama kambi za wakimbizi. wanafunzi hujaa hadi pomoni na wengine hukosa kabisa nafasi ya kukaa. Mgonjwa mmoja anatosha kuambukiza darsa zima kwa siku moja tu.
Waalimu wa vyuo waliowengi wako kwenye umri hatarishi kwa corona na hawa ndo watakaokutana na vijana ambao sasa watatoka majumbani kwao na kusafiri nchi nzima. Nionavyo waalimu jiandaeni kupigwa na corona.
Hili kidogo linasikitisha maana wanasiasa kule Bungeni na hata maofisini na huko ikulu, wanaogopa mikusanyiko lakini wako tayari kuwajaribia vijana wetu na wataalamu wetu kuanza kuchanganyikana kwenye madarasa ambayo hukusanyika kuliko daladala.
Wewe unafundisha chuo gani
Unajua umbali wa lecture na wanafunz
Ni zaidi ya mita kumi
Wewe sibishani na mtu hata chuo huenda hujafikaHivi umewahi hata kusoma chuo. Hall yenye wanafunzi 400 wanakaa kwa distance gani?
Wewe sibishani na mtu hata chuo huenda hujafika
Nenda pale udsm kuna venue maarufu ambazo zinabeba wanafunz kibao zaidi ya 400
YOMBO 4 na YOMBO 5
Hizo ni venua maarufu ingia ndani uone maiki ya lecture ilipo, kwanza anaivaa shingoni, pc ipo mezan, anaconnect kila mtu anaona umbali mkubwa sana, yaan lecture inaanza mpaka inaisha lecture hajawasogelea hata kidogo wananfunzi
Venue nyingine kama Theater 1 na2, ziko muundo wa mbali tu
Labda lecture mwenyewe aamue aende kwa wananafunz
Kwa udsm venue zipo nyingi tu zinazotenganisha lecture na wanafunz
Sijajua vyuo vingine,
Japo hata wao naamini venue zipo vizur.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kakataa kufungua shule za msingi. Muwe mnasikiliza vizuriVipi walimu wa shule za msingi
Hali halisi ni ipi??
Sent from my iPhone using JamiiForums