Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

Kwani hakuna njia za kujikinga na corona?
 
Ujinga ndiyo tatizo la watu kama wewe mleta hii mada. Wanavyo tamba mitaani huku na kwenye mikusanyiko mfano sokoni kuna tofuti gani na wakarudi chuo?! Hao unao waamini walitabiri tutakuwa tunaokotwa kama mizoga njiani kiko wapi?! Corona yupo ila si kwa kutishwa na kuaminishwa uoga kiasi hiki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cjui chema kwenu ni kitu gani na hao waliofungua huko Ulaya wakati wanakufa kwa ma 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna atakaye kufa Mwalimu au wanafunz.
Hayo maneno yako yashindwe kwenye ulimwengu wa Roho
 
Acheni ujuaji wakijinga wahini chuo vijana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Ni vyama vyuo kuweka utaratibu salama wa uendeshaji madarasa hayatoshi na ni less than one metre. Hatari ni kubwa zaidi ikiwa tunarudi kwenye miundo ile ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umewahi hata kusoma chuo. Hall yenye wanafunzi 400 wanakaa kwa distance gani?
Wewe sibishani na mtu hata chuo huenda hujafika

Nenda pale udsm kuna venue maarufu ambazo zinabeba wanafunz kibao zaidi ya 400
YOMBO 4 na YOMBO 5

Hizo ni venua maarufu ingia ndani uone maiki ya lecture ilipo, kwanza anaivaa shingoni, pc ipo mezan, anaconnect kila mtu anaona umbali mkubwa sana, yaan lecture inaanza mpaka inaisha lecture hajawasogelea hata kidogo wananfunzi

Venue nyingine kama Theater 1 na2, ziko muundo wa mbali tu

Labda lecture mwenyewe aamue aende kwa wananafunz

Kwa udsm venue zipo nyingi tu zinazotenganisha lecture na wanafunz

Sijajua vyuo vingine,

Japo hata wao naamini venue zipo vizur.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya kila la heri. Maana mmeamua kuwatoa wanafunzi sadaka.
 
Mapinga pinga kila kitu kupinga tu!

Kujitia utaalamu kwiiiingiii... ohhh tutakufa... oohhh fyokofyoko... mizoga itasamba barabarani!

Kajitu kakiwa na tecno tayari kameshakuwa daktari, mwanasayansi na mwandishi wa habari!

Kwendeni zenu huko na macorona yenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pigo kwenu CDM...Uchaguzi uoo wanachuo wana penda bata hawa wezi acha kwenda [emoji28]sifa zote znaenda kwa JPM

Dark Side
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…