Kufungua vyuo ni kuwajaribia vijana wetu na kuwamaliza waalimu vyuoni

Povu la nini mkuu? kila mtu ana maamuzi juu ya maisha yake... tena elimu ya chuo ilivyo easy ukitaka unaweza kuahirisha mwaka ukaenda siku utakapoona hali ni salama kwako.
Haya.
 
Watadondoka wengi.
 
Nilikuwa nawaza je vyuo vikifunguliwa na kuna watu wansoma TANZANIA ila kwao ni kenya, uganda, s.africa na kwingineko, itakuaje kuhusu hao maan wamefungiwa hawaruhusiw kutoka! Je watanzania wataendelea kusoma alafu hao wageni ndo watakosa elimu au inakuaje!??,
 
nitadoji kama siku 3 au 4 ivii.nikifikiria zile mlt 9 na 10 noma
 
chuo kugumu jaman layf lake jau sana na misongamano kama yote na kula tu ni shida
 
Sijawahi ona uzi unaohusu corona wenye like chache kama huu!
 
Ma prof na ma lecturer wenye above 65+ wajiandae kwenda kumsalimia islael.

Hawa vijana @ 18 - 25 Corona inawadunda tu.
 
Mkuu,

Chuo kikifunguliwa sitaenda darasani.. Nitawalipa Hela kidogo ili wanifanyie usajili then narudi zangu home.. Sitokaa hostel... Nitaenda kweny test tu
Wewe upo makini sana...chukua boom ka kwako tokea siku ya test na mabakoa kibao na ma sanitizer.. ha ha ha
 

Oops, RIP Wahadhiri wetu. I say in advance. Mtapukutika tu na corona kama kuku kwa uamuzi huu wa serikali kufungua vyuo.
 
Bashite F F F F F F F F F huko sekondari. Ndiye aniambie Nika"dance" wakati corona ananiona!!! Nikifanya hivyo A A A A A zangu sekondari ni ujinga mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…