Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

Humu JF kuna vichwa bwana...!! Naona hadi mtoa post kakimbilia ndani, chumbani na kujificha kabatini..!!

Jamani mjibuni huyu anauliza kama kuna awamu yoyote toka uhuru hadi sasa haijawi kukopa au kuomba msaada..!! Ipo?
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Sukuma gang mna gubu kama mmepokonywa mume.
 
Pointless, mnasumbuliwa na mawazo ya kidikteta tu.
 

Zamani nilikuwa siamini kuwa hata wanafiki wanazeeka, kwa mchango huu inabidi nibali nilichokuwa naami.
 
inasikitisha sana, dunia pamoja na kuwa na resources zote baada ya watu kuumiza vichwa nyuma huko karne hii kuna mtu anataka kuleta maendeleo kww kutesa na kuumiza watu..

Karne ya sasa iliyojaa resources na maarifa ya kutosha, watu hutumia reources zilizopo na zinazotumiwa na wengine kwenda mbele, mifumo ya kizamani huko chini ya 80's dunia ilikuwa haina resources za kutosha hivyo ilikuwa haina budi kutumia nguvu kwenda mbele...

Kurudisha watu nyuma na kuanza upya mpaka tukae sawa tutakuta dunia iko mbali mnooo na kila siku tutajikuta tunaanza upya..akili ni kuanzia hapa walipo wengine kwa kutumia mifumo ya kidunia ya kisasa na resources zake kwenda mbele...
 

Sukuma Gang era yenu ishaisha,sasa ni zamu ya wapemba na wakwere kutesa.
 
JPM ni rais wa kihistoria hatakuja atokee kama yeye miaka hata 60 mbele. The real definition ya uongozi, uwajibikaji na nidhamu kwa mali ya umma.

Baada ya kusema ukweli huu na mimi ni msukuma?

Nidhamu ya mali ya umma unaijua? Kukopa mijihela kibao ndani ya muda mfupi na miradi hata haijakamilika na kutudanganuya tunatumia fedha zetu za ndani ndio nidhamu? 1.5T imepigwa bila maelezo ndio nidhamu? Kujenga Gbadolite Chato airport ndio nidhamu?
 
Kama wewe unavyoamini kwa sababu mashirika ya serikali China yamefanikiwa kibiashara sana basi hata hapa Tanzania serikali inaweza kufanya biashara na kufanikiwa.
 
Umemezeshwa pumba yani chadema kuna maneno mmekalili kama vifungu vya bible wote you sound the same.

Kwani chadema ndio walivyosema? 1.5T Prof kama Prof Assad si ndio aliyesema? Deni la taifa kuongezeka ndio chadema walisema? Si waziri ndio aliyesema? Chato airport chadema ndio wamejenga? Si ilisemwa na wabunge bungeni? Jiwe alitapakanya fedha sana kwa ajili ya kufanya biashara ya utumwa kununua wapinzani.
 
Sijui kipi bora, kujua ukweli wa hali yako halafu ukatafuta mbinu za kutoka hapo; au kujipiga kifua kwamba "we are on the right track" wakati hali yako ni dhaifu.
 
Mzee stori za utajiri huenda zilikuwa mbwembwe. Zilitafuna NSSF, PSSSF, etc.
Tuwe wahalisia. Come back to your senses
 
uwezo wako mdogo sana wa kufahamu mambo mbaya zaidi hujui kama upo level ndogo sana ya uelewa, so siwezi poteza muda kukujibu lolote.

Lazima tuwape za chembe hamuwezi kudanganya watu halafu tukae kimya ,nidhamu ya kazi nidhamu ya kazi hiyo kwiooooo??
 
Mama inabidi asomeke. Udadisi huu una maana moja tu...inabidi kuelewa tunaendaje katika kufungua huko nchi. Nchi hii ni kubwa na ina changamoto sana. Namuombea sana mama hekima ya kuongoza. Ana mzigo mkubwa sana mabegani. Na ni lazima tufike tunakokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…