Unazungumzia Instagram kule kwa akina Amber Lulu, Harmorapa na akina Gigy Money! Kule ambako wamejaa watu wenye ufinyu mdogo wa uelewa ambao chochote utakachowaambia wanakubali na kupiga makofi!!!
Hao wanaotukana hapa ni akina nani kama sio Misukule ya JPM ambayo na yenyewe waliapa kutetea chochote kile kinachomhusisha Jiwe hata kama ni cha kipumbavu!!
Kila mwenye akili timamu bado anakumbuka sakata la clip ya Gwajima aliyokuwa anawahamasisha watu wa kabila lake wapiganie na kuulinda urais wa JPM!
Walivyo wajinga, walidhani na bado wanadhani urais wa JPM ulitakiwa kutetewa na kupiganiwa na watu wa kabila lake! Matokeo yake, wakiona mtu ana misimamo tofauti na Mungu Mtu wao basi lazima waje juu kwa sababu walishaapa kutetea urais wake!!
Kwahiyo kama watu wenyewe unaowazungumzia ndio hao, wapite hata barabarani kutukana kwa sababu kila mwenye akili timamu anafahamu wapo kwenye wakati mgumu unaotokana na ujinga wao!!
Yaani hapa wanatamani Samia kila siku akosee ili waseme "Angekuwepo JPM..." VERY STUPID!!!
Ajabu zaidi, leo hii wakiona chochote kinaachofanywa na Samia kama kilikuwa hakifanywi na Jiwe, basi wanakuja juu kwa sababu wanaamini Samia anajaribu kumkosoa Mungu Mtu wao!!
Ndo unawashangaa hata watu kama
Mzee Mwanakijiji! Yaani pamoja na uelewa alionao bado anajitoa ufahamu kana kwamba hafahamu mahusiano na Kenya yalivurugika sana!!! Cha kushangza zaidi, wala sioni cha ajabu alichoongea SSH...
NI nani mwenye akili zake anayeweza kupinga ukweli kwamba Kenya ni one of the biggest business partner in Tanzania?! SSH alikuwa Ikulu for 5 years... sasa kama aliona kulikuwa na mapungufu pahala, kuna tatizo gani kurekebisha?
OH! Ndo kama nilivyosema hapo awali... wanaona anamkosoa JPM... Mungu Mtu ambae alikuwa hafanyi makosa, na kwahiyo yote yaliyokuwa yanafanywa na yeye ni LAZIMA yaenziwe hata kama ni ya kijinga!!!