Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

Pumba tupu!
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Tulieni tu nyie waumini wa kutekana kwa mgongo wa kutuletea maendeleo
 
Chawa wanapata tabu Sana hawakuwa na plan B huku wakiamini mwendazake ataishi milele leo upambe aulipi na hawana plan B.Kubalini matokeo kusafisha mikojo sio dili tena,limeni hata mboga msife njaa.Aliyeondoka atorudi tena.
 
Pumba tupu!
Siyo pumba hizo wacha unazi ulokupofua. Kumbe exposure haijakusaidia ndiyo maana mnaitwa sukuma gang. Maana ukabila na udini haujalishi exposure uliyonayo. Vinapofusha. Ndo maana bado tuko masikini. Unathubutu kuuita ukweli pumba kwasababu hukubaliani nao?
 
Hahahahahaha leo hii kumbe mitandao ndio kipimo cha mtu kupendwa? Ila kipindi cha kampeni mlidai ni wahuni tu wasiozidi 10.

Messi na Ronaldo wametishia kufunga akaunti zao kisa tu matusi ya mitandaoni ndio sembuse hao MATAGA.

Issue ni field mzee, ndio kuna majibu yote nadhani wote mashahidi hapa kote alipopita Lissu alipokelewa na maelfu ya wananchi kwa bashasha kuliko chama chochote kingine cha upinzani.

Embu kunywa maji glass nzima ukifaidi mafuriko ya Lissu!! Ndio eti Facebook??

 
Angalia ulivyo mjinga...

Unajua maana ya ukabila wewe?

Kusema Gwajima alikuwa anawahamasisha Wasukuma watetee urais wa Jiwe ni ukabila au kupinga ukabila mliokuwa mnahamasishana?!
 
Katika dunia hii ya globalization huwezi kuifungia nchi na wala huwezi kuifungulia nchi na kumeza kila kitu kama dodoki! Kwa hiyo unachofanya ni kuiunganisha nchi na dunia in away ya win win situation.

Sasa, naona kuna upotoshaji wa makusudi kuhusu notion ya Rais Samia kuhusu "Kufungua nchi!" Kwa makusudi kabisa wapotoshaji hawajadili mantiki bali ajenda ovu. Rais amekuwa wazi ana maanisha nini. Kwamba lengo ni kuweka mazingira mazuri ya kibiashara yanayotabirika. Ni pamoja na mfumo wa haki wa kodi, usimamizi na utekelezaji wa sheria na sera ya Uwekezaji na kuondoa urasimu. Kwa kifupi ni kuboresha Mpango wa Blue print.

Utekelezaji wa miradi mikubwa unahitaji pesa nyingi ambazo hazitaathiri shughuli nyingine za kiserikali, kama haki ya kuongeza mishahara watumishi wa umma, dawa hospitalini, elimu bure, mikopo elimu ya juu, ajira na operesheni nyingine. Sasa huwezi kufanya yote hayo bila kuwa na wigo mpana wa wawekezaji wa walipa kodi. Ukiendesha miradi kwa kukopa utaizamisha nchi katika dimbwi la deni lisilolipika! Sasa faida ya globalization ukifungua nchi ; ni kuruhusu mitaji ya uchumi na biashara kumiminika.

Utazalisha kwenye viwanda na ni rahisi pia kufanya Mapinduzi makubwa ya kilimo. Binafsi natamani tupate wawekezaji wakubwa katika sekta ya kilimo ili tufanye Mapinduzi ya Kilimo. Tuna tatizo kubwa la umasikini wa kurithi (Generational poverty), kwa sababu asilimia 70 ya wakulima ni sawa na 'toto lililodumaa!' Kwa hiyo hujikuta masikini wanazaa masikini.

SULUHU: Ni kufungua nchi waje wawekezaji wakubwa katika sekta mbalimbali hasa kilimo, ili tufanye Mapinduzi ya Kilimo, tukuze viwanda, kodi, ajira, uchumi, biashara, tuondoe umasikini wa KURITHI, tu export na kuongeza pato la mtu.

MSIMAMO: Naamini Serikali itafanya haya katika mazingira ya win win situation. Ndicho ninachojua katika focus ya Rais wetu Mama Samia. Tumuunge mkono na tumpe muda.

SISI NI TAIFA.
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Utaambiwa unamchukia sababu
1. Ni mwanamke
2. Ni muislamu
3. Sababu wewe ni Mataga.

Mama ni Malaika. Amekuja toka mbinguni hakuwepo Duniani. Ni msafi na anawapa watanzania Furaha
 

Kwani uliambiwa TAZARA ilijengwa kwa miaka 23?

Kwani uliambiwa mashule yalijengwa kwa miaka 23?

Hapo tu unathibitisha ulivyo na ufinyu mdogo wa mawazo, no wonder badala ya kujadilia hoja umeingia na matusi!!

Check your records uone TAZARA ilijengwa kwa muda gani, UDSM ilijengwa kwa muda gani, n.k!
 
Duh....watu mna moyo kweli!

Hivi Askofu Gwajima si anaweza kufufua? Amrudishe tu JPM, kuna watu wanamiss kufokewa na kunyimwa uhuru ndani ya nchi yao!
Labda kama umekufa kichawi lkn kiamri ya Mungu huwezi fufuka.Anafufua waliokufa kichawi
 
Ingawaje umeuliza swali la msingi lakini nimeshakudharau ulipoanza matusi eti kisa tu nimekuelimisha uandike kwa paragraph!
 
Kwn nchi ilikua imefungwa?
 
Wewe unafahamika, sifa no moja kwako ni ujinga, na ndivyo ulivyo

Nimekuuliza, Tazara na SGR unaanzaje kuzilinganisha?

Hivi unajua kwamba, Tazara inadaiwa mabilioni ya fedha na mchina hajalipwa fedha zake zote?

Jitahidi aghalau kidogo Tu kutofautisha mambo ingawa ni mjinga! Lkn Jitahidi hivyohivyo, mwisho wa siku utaelewa

Halafu tabia yako chafu ya ukabila Jitahidi Nayo uipotezee, vinginevyo, utambue kabisa hapa kwetu, Tunaweza kuwa washindani wa maendeleo Kati ya mtu na mtu na kuhamasishana kufanya maendeleo kama ilivyo Baadhi ya sehemu Kwa wachapa kazi

La hutaki, basi hamia Kenya mkashindane kuoneshana ubabe Kati ya kabila na kabila
 
Kwani bei yako ni kiasi gani usiku mzima?
Tatizo lenu lingine watu dizaini yako, ni ujuaji mwingi bila kujua, kumbe unatumika tu kama malaya muuza nyata barabarani.
Hahaha hamna elimu yeyote, wewe ndiyo hujui kuandika au pengine hujui kusoma. Au umeishiwa ‘nukta za kuongea’ ulizopewa na mabwana zako.
Dadangu vipi tena unaanza matusi? Ni frustration za kuletewa nyumba ndogo na mumeo au frustration za kuingiliwa kwa nguvu kinyume na maumbile na huyo mumeo?

Unaonaje basi ungeenda kumshitaki Dawati la Jinsia badala ya kuleta frustrations zako mitandaoni?!
 
Sikujua kumbe shida yako ni wasukuma. ok bye.
Shida yangu sio Wasukuma, nimekuambia wazi shida yangu ni Gwajima aliyekuwa anawahamiza Wasukuma wautetee urais wa JPM!! Na shida yangu nyingine ni kwa wale wote wanaotetea urais wa JPM sio kwa sababu ya kuongozwa na itikadi bali kwa sababu tu ni Msukuma mwenzao...

Ukweli mchungu ndo huo... mtajibaraguza sana hapa lakini kuna watu kibao hapa JF support yao kwa JPM haiongozwi na itikadi bali ukabila!

Ningekuwa wa maana kama ungekemea upuuzi wa Gwajima aliyekuwa anahamasisha Wasukuma wamtetee JPM, vinginevyo, nawe ni wale wale tu!
 
Mbona hii haina uhusiano na mada kuu!
 
Labda kama umekufa kichawi lkn kiamri ya Mungu huwezi fufuka.Anafufua waliokufa kichawi
Yap....that's the point. HE IS DEAD!

Tuendelee na tuliye naye sasa. Tuepuke kumpa masifa ya kijinga na asiyo stahili. Penye makosa tukosoe (hata mwenyewe Samia anapenda hivyo). Penye kushauri, tushauri kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Na so far anaonekana ni msikivu zaidi ya mtangulizi wake. Sio mtu wa kujifanya mjuaji wa kila kitu wakati hajui kitu. Si mtumiaji mbaya wa madaraka tuliyompa. Anaheshimu wananchi wake (sio kama yule mwingine anayethubutu kumwambia mwananchi wake ati "abaki na m.avi yake nyumbani"!).

Namuomba tu "akerwe" na umasikini wa watanzania walio wengi. Pesa za umma zielekezwe zaidi kuinua hali za maisha ya watu masikini hasa kwenye elimu na mazingira ya kutolea elimu kwa ujumla. Hizi zawadi za mabenzi (kama kweli ni zawadi na sio replacement) ni non starter!
 
And this was my first post to you...
Kuna popote hapo nimekutukana?

L:akini badala ya kujibu hoja, ukakimbilia kusema "Oh, nina chuki na JPM, na pia mkabila"

Ni kutokana na kauli yako hiyo ndo maana nikakuita mjinga, kwa sababu ni ujinga kweli kukimbilia kuwaita watu wana chuki na JPM eti kisa tu hawakubaliani nae? Na ni ujinga kuwaita watu Wakabila kisa tu hawakubaliana na JPM au kusema Gwajima alikuwa anahamasisha Wasukuma wamtetee JPM!

Na hilo ndo tatizo lenu... yaani mnataka WOOOOOOOTE wamuiimbe Jiwe kwa mapambio, na wakitokea wa kumpinga, "oh, mnamchukia"

Kama kueleza udhaifu wake na kumpinga ni kumchukia, LET IT BE.... it's enough mkimpenda nyie!!

Kwani Gwajima hakufanya hicho kitu?
 
[emoji419][emoji375] ni bora kuwa na wawekezaji wachache wanaokubali win-win agreements....kuliko kuwa na masifa ya kuwa na wawekezaji babaishi

Mzee Kiujumla nimekuelewa na nakubaliana na hoja zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…