Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hao mapunga zeze wao kuwa hivyo, wee inakupunguzia au kukuongezea nn? Au unafaidika na kuathirika kipi?Yes kwa ajili ya kutoa elimu Mkuu au Wewe unaona ni kawaida wale MAPUNGA ZEZE kuwa vile?
Mkuu GENTAMYCINE tena?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]msimsahau dada yenu Gentamycine
Bro huyo ndugu unaebishana nae ni wale wale,utaanzisha ugomvi usio na maana bure! Kwani humjui?Yes kwa ajili ya kutoa elimu Mkuu au Wewe unaona ni kawaida wale MAPUNGA ZEZE kuwa vile?
Mwambie akuache uishi upendavyo.Hao mapunga zeze wao kuwa hivyo, wee inakupunguzia au kukuongezea nn? Au unafaidika na kuathirika kipi?
Waacheni watu waishi maisha yao binafsi. Khaaaah
Hao mapunga zeze wao kuwa hivyo, wee inakupunguzia au kukuongezea nn? Au unafaidika na kuathirika kipi?
Waacheni watu waishi maisha yao binafsi. Khaaaah
Warumi sitaki tujuane kabisaaa.
Yaani una digrii ya umbea na kuchamba
[emoji16][emoji23][emoji16]loohh!hufaaaiMashoga zangu wote hawanikaribishag majumban kwao, tunatakana bar, maana warumi hanaga siri hata umpe million 2 ukimpeleka kwako kama hapaeleweki atakutangaza mtaa mzima[emoji23][emoji23]
Swadaktaaa!Sio ndoa mzee, wanapenda shughuli hasa za harusi πππ utashangaa miezi 6 haifiki ndoa chali
π€£π€£Yule fala ndio alikuwa mume wa Dida kumbe πππ
Kwani mie nazungumza nae kuhus mie? Nawaambia kuhusu hao alio wa post, yaan mie maisha yangu ayashikilie mwingne? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolMwambie akuache uishi upendavyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee binamu khaaahMashoga zangu wote hawanikaribishag majumban kwao, tunatakana bar, maana warumi hanaga siri hata umpe million 2 ukimpeleka kwako kama hapaeleweki atakutangaza mtaa mzima[emoji23][emoji23]
Umeshawahi kuwaona hao unao wazungumzia wanafanya hayo mapenzi hadharani? Na nina amini ingekua hivyo bas wangechukuliwa hatua za kisheria,Hayo mambo yao ya Upunga zeze wayafanyie chumbani na si hadharani maana kimaadili hayafai,ufirauni wao wakifanyia ndani ya madanguro ni sawa hakuna atakayesema ,ukitaka kuona kwamba hapa ni swala la maadili basi watu wakifanya mapenzi kwenye magari sehemu za wazi wasingekuwa wanakamatwa.
Tatizo huwa anajioa[emoji16][emoji16]Huyu kwanza hatakiwi kuchangiwa kwenye ndoa kwenyewe hakai miaka5 kayatinginya anasepa