Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Hii nchi lazima tuanzishe kulipa kodi ya kichwa hata tuweke 50,000 kwa mwaka. Maana kuna watu wanahela wanafanyia mambo ya kijinga sana. Unaanzaje kutoa Laki tano kwa ajili ya harusi ya mtu ambaye mmekutana tu kijingajinga mjini. Ufukara miongoni mwetu watanzania kamwe hauwezi kuisha. Mimi nilishapiga marufuku kuchangia harusi bora hela yangu nikasaidie yatima na wagonjwa hospitalini. Mtu anapata umaarufu kwa kutokana Redioni ndio watu wanachanga hela zote.
 
Yes kwa ajili ya kutoa elimu Mkuu au Wewe unaona ni kawaida wale MAPUNGA ZEZE kuwa vile?
Hao mapunga zeze wao kuwa hivyo, wee inakupunguzia au kukuongezea nn? Au unafaidika na kuathirika kipi?
Waacheni watu waishi maisha yao binafsi. Khaaaah
 
Ningekuwa mwanakamati upande wa fedha
Hao ningewasiliza,kesi ningejua naimalizaje

Ova
 
Hao mapunga zeze wao kuwa hivyo, wee inakupunguzia au kukuongezea nn? Au unafaidika na kuathirika kipi?
Waacheni watu waishi maisha yao binafsi. Khaaaah

Hayo mambo yao ya Upunga zeze wayafanyie chumbani na si hadharani maana kimaadili hayafai,ufirauni wao wakifanyia ndani ya madanguro ni sawa hakuna atakayesema ,ukitaka kuona kwamba hapa ni swala la maadili basi watu wakifanya mapenzi kwenye magari sehemu za wazi wasingekuwa wanakamatwa.
 
Ndio kusema Maulid Kitenge ameahidi laki 3 na hajatoa bado.
 
Mashoga zangu wote hawanikaribishag majumban kwao, tunatakana bar, maana warumi hanaga siri hata umpe million 2 ukimpeleka kwako kama hapaeleweki atakutangaza mtaa mzima[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji23][emoji16]loohh!hufaaai
 
Mashoga zangu wote hawanikaribishag majumban kwao, tunatakana bar, maana warumi hanaga siri hata umpe million 2 ukimpeleka kwako kama hapaeleweki atakutangaza mtaa mzima[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee binamu khaaah
 
Hayo mambo yao ya Upunga zeze wayafanyie chumbani na si hadharani maana kimaadili hayafai,ufirauni wao wakifanyia ndani ya madanguro ni sawa hakuna atakayesema ,ukitaka kuona kwamba hapa ni swala la maadili basi watu wakifanya mapenzi kwenye magari sehemu za wazi wasingekuwa wanakamatwa.
Umeshawahi kuwaona hao unao wazungumzia wanafanya hayo mapenzi hadharani? Na nina amini ingekua hivyo bas wangechukuliwa hatua za kisheria,

Suala la maadili yapi hayo unayo yazungumzia wee? Haya ya wababa kutembea na vitoto? Mama kutembea na vijana? Watu wanafanya dhambi kila aina hapa, ila faragha za watu binafsi juu ya miili yao ndo inawakereketa saana?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh
 
Back
Top Bottom