Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hii nchi lazima tuanzishe kulipa kodi ya kichwa hata tuweke 50,000 kwa mwaka. Maana kuna watu wanahela wanafanyia mambo ya kijinga sana. Unaanzaje kutoa Laki tano kwa ajili ya harusi ya mtu ambaye mmekutana tu kijingajinga mjini. Ufukara miongoni mwetu watanzania kamwe hauwezi kuisha. Mimi nilishapiga marufuku kuchangia harusi bora hela yangu nikasaidie yatima na wagonjwa hospitalini. Mtu anapata umaarufu kwa kutokana Redioni ndio watu wanachanga hela zote.