Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila binamu wee hapana kwa kweli lol.
 
Mmh dida kapata au hilo serengeti ndo limepata sugar mom la kulelewa nalo, mwanaume gan wa maana atamuoa Dida na wewe Jaman , Mwanamke mchawi kama nin yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Wanazengo na nyie mna midomo[emoji23][emoji23], kwanza na nyie mmeolewa au ndo mko heda kama warum hapai[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, njoo tu share bwana binamu, why unakaa heda wee nae lol
 
Binamu Dida atakua kakuibia mume sio kwa vichambo hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... shoga make ups kutwa mara tatu na zinadunda, anaonekana kama zile poda wanazopakwa maiti, Dida ana sura nzito Jaman looh ila wanaume wana huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom