AISEE KAMA UNA UGONJWA WA UKANDA MPAKA AWAMU HII YA TANO I CAN REALLY DOUBT YOUR FUTURE BROTHER.. POLE SANA. WATU WA KASKAZINI TUNAKUPENDA MTANZANIA MWENZETU.
"Kamwe Rais hatawai kutoka Kaskazini". Hahahahaaaa mkidhani mnamkomoa Lowasa sasa mmebaki mkilialia kama mikondoo mipumbavu.
Kamoooonnn fanyeni kazi
Mbaaff
Jibu zuri sana hiliN.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Fanya yafuatayo: jitangaze kama taifa huru, nje ya muungano kisha waiteni wale wale kwa masharti yale yale 'wanamradi' uone kama watakubali!Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.
Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?
Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?
Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?
Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?
N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
SGR inatuhusu kanda ya ziwa, wachaga hujitapa eti lami mpaka vijijini kisa wamekuwa na mabosi wanao diverty miradi kwenda kwao, acha jiwe nae alipize kisasi.Kweli tupu. JK alitakiwa huu auanzishe Pye alipoingia mjengoni. Kaendekeza anasa na Safari nyingiii. Si unaona jiwe kaanza na spidi ya ngiri na miradi take akijuwa kuwa hata akiondoka mtu mwingine akija itakuwa tabu kuizuia. Mkwere kawaachia wazaramo mradi kwenyewe makaratasi ya michoro!
aseeSGR inatuhusu kanda ya ziwa, wachaga hujitapa eti lami mpaka vijijini kisa wamekuwa na mabosi wanao diverty miradi kwenda kwao, acha jiwe nae alipize kisasi.
Huu ndo mradi ambao ungepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la wana pwani, maana wangeuza kila kitu na kuwa beggers for their entire lifetimepia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Hivi wa 2025 atatoka wapi ?,, akili ya Kaskazini changanya na yako"Kamwe Rais hatawai kutoka Kaskazini". Hahahahaaaa mkidhani mnamkomoa Lowasa sasa mmebaki mkilialia kama mikondoo mipumbavu.
Kamoooonnn fanyeni kazi
Mbaaff
Kwani mradi ukiwa pwani unakuwa was wna pwani.Pwani ni ya watanzania tofauri na mikoa mingi.Kila mtanzania anatamani akaishi pwani,vhivyo basis chochote kitakachoharibika basis watanzania watakuwa wameharibikiwa.Huu ndo mradi ambao ungepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la wana pwani, maana wangeuza kila kitu na kuwa beggers for their entire lifetime
Kabudi,mipango,mwigulu,majaliwa,Jafo.Hao ndio ubashiri wangu.Hivi wa 2025 atatoka wapi ?,, akili ya Kaskazini changanya na yako
Jifunzeni kuweka hakiba ya maneno - tulijengewa reli ya TAZARA na Wachina kwa mkopo wa matrillion - miaka karibu hamsini imekwisha pita tangu tupewe mkopo, mpaka sasa hatujawalipa Wachina hata senti tano na sijawahi kusikia Serikali ya Uchina ikifungulia mashtaka Tanzania kwa kukwepa kurudisha deni la walipa kodi wa Uchina - wakati China inatoa mkopo GDP ya Tanzania ilikuwa ni kubwa kuliko ya Uchina - hayo madai yako kuhusu Uchina unaweza kuyathibitisha vipi zaidi ya uongo wa kupikwa na media za magharibi dhidi ya Uchina.China Debt Trap ni hatari kuna mataifa yanalia
Wachina wanakujengea miradi mikubwa kwa pesa yao alafu wanaanza kukudai kabla hawajakukabidhi hakuna rangi utaacha ona
Mkuu,Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.
Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?
Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?
Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?
Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?
N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Kweli kabisa kabisa lazima walifikirie hili tenaKufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.
Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?
Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?
Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?
Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?
N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
nakumbuka miaka ile hapa jf watu wa pwani akina ritz, faizafoxy and the likes walipaza sana sauti kupigania huu mradi.
poleni sana watu wa pwani.
Wenye "saccos" hawa weza kukuelewaKabudi,mipango,mwigulu,majaliwa,Jafo.Hao ndio ubashiri wangu.