Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

AISEE KAMA UNA UGONJWA WA UKANDA MPAKA AWAMU HII YA TANO I CAN REALLY DOUBT YOUR FUTURE BROTHER.. POLE SANA. WATU WA KASKAZINI TUNAKUPENDA MTANZANIA MWENZETU.

Awamu hii ya tano ndio imeibua hisia za ukanda kwa uwazi. Sasa subiri utaona matokeo yake.
 
"Kamwe Rais hatawai kutoka Kaskazini". Hahahahaaaa mkidhani mnamkomoa Lowasa sasa mmebaki mkilialia kama mikondoo mipumbavu.

Kamoooonnn fanyeni kazi

Mbaaff

Na wale wote walioshabikia “BAO LA MKONO” wanayapata, walidhani mdundo ungekuwa uleule wa awamu ya tatu na nne kumbe KIBOKO yao kashika usukanu kama wa awamu ya kwanza!!!!Duuh! Mungu anaipenda Tanzania kwa kumrudisha Mwl Nyerere kwa staili maalum - Rais Dr Magufuli. Ni wazi kama Mhe Lowassa angalichukua madaraka mambo yangalikuwa ni muendelezo wa awamu ya tatu na nne, kweli bao la mkono liliokoa taifa bila watekelezaji kujua(incognito)!!!This is what is termed/called in English “ A MIRACLE”! in favor of Tanzania.
 
N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Jibu zuri sana hili
Basi walau safari zile angeleta wawekezaji binafsi lakini wapii.
Ili kuendelea sio lazima bandari,mkoa wa pwani hasa bagamoyo kuna fursa ya viwanda vingi vipya wanaweza kutumia fursa hiyo kunyanyuka kiuchumi
 
Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.
Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?
Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?
Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?
Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?
N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Fanya yafuatayo: jitangaze kama taifa huru, nje ya muungano kisha waiteni wale wale kwa masharti yale yale 'wanamradi' uone kama watakubali!
 
Kweli tupu. JK alitakiwa huu auanzishe Pye alipoingia mjengoni. Kaendekeza anasa na Safari nyingiii. Si unaona jiwe kaanza na spidi ya ngiri na miradi take akijuwa kuwa hata akiondoka mtu mwingine akija itakuwa tabu kuizuia. Mkwere kawaachia wazaramo mradi kwenyewe makaratasi ya michoro!
SGR inatuhusu kanda ya ziwa, wachaga hujitapa eti lami mpaka vijijini kisa wamekuwa na mabosi wanao diverty miradi kwenda kwao, acha jiwe nae alipize kisasi.
 
pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).
Huu ndo mradi ambao ungepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la wana pwani, maana wangeuza kila kitu na kuwa beggers for their entire lifetime
 
China Debt Trap ni hatari kuna mataifa yanalia
Wachina wanakujengea miradi mikubwa kwa pesa yao alafu wanaanza kukudai kabla hawajakukabidhi hakuna rangi utaacha ona
 
"Kamwe Rais hatawai kutoka Kaskazini". Hahahahaaaa mkidhani mnamkomoa Lowasa sasa mmebaki mkilialia kama mikondoo mipumbavu.

Kamoooonnn fanyeni kazi

Mbaaff
Hivi wa 2025 atatoka wapi ?,, akili ya Kaskazini changanya na yako
 
Huu ndo mradi ambao ungepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la wana pwani, maana wangeuza kila kitu na kuwa beggers for their entire lifetime
Kwani mradi ukiwa pwani unakuwa was wna pwani.Pwani ni ya watanzania tofauri na mikoa mingi.Kila mtanzania anatamani akaishi pwani,vhivyo basis chochote kitakachoharibika basis watanzania watakuwa wameharibikiwa.
Mirafi mingi mikubwa inaanzia huko pwani.
Wazaramu wameshindwa kutumua fursa zilizopo pwani ambazo wamikoani huzifuata na kutoka maisha.
 
Mimi nataka Chato iwe Kama Dubai ili mzime na kukaa kimyaaa
 
Awamu ya tano imemdharau sana Mwenyekiti mstaafu wa CCM kuufuta mradi mkubwa uliofanyika kazi kubwa ni dharau...badala ya kuuboresha wao kwa dharau wameufuta kabisa tena bila maelezo ya kina...dharau kubwa sana hii hasa kwa watu wa pwani.
 
China Debt Trap ni hatari kuna mataifa yanalia
Wachina wanakujengea miradi mikubwa kwa pesa yao alafu wanaanza kukudai kabla hawajakukabidhi hakuna rangi utaacha ona
Jifunzeni kuweka hakiba ya maneno - tulijengewa reli ya TAZARA na Wachina kwa mkopo wa matrillion - miaka karibu hamsini imekwisha pita tangu tupewe mkopo, mpaka sasa hatujawalipa Wachina hata senti tano na sijawahi kusikia Serikali ya Uchina ikifungulia mashtaka Tanzania kwa kukwepa kurudisha deni la walipa kodi wa Uchina - wakati China inatoa mkopo GDP ya Tanzania ilikuwa ni kubwa kuliko ya Uchina - hayo madai yako kuhusu Uchina unaweza kuyathibitisha vipi zaidi ya uongo wa kupikwa na media za magharibi dhidi ya Uchina.
 
Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.

Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).

Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?

Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?

Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?

Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?

N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Mkuu,

Tunafahamu wewe ni mwathirika wa kusitishwa kwa mradi huo na kwamba ulijongea kuwekeza karibu na maeneo ya kijiji cha Pande na Zinga hivyo ndoto zako zote zimeyeyuka.

Ni bora Kikwete angewekeza juhudi zake kubwa kupigania bandari ya nchi kavu hapo CHALINZE kuliko kuwekeza Bagamoyo karibu na Chuo cha Mbegani kilomita 50+ kutoka Bandari ya Dar Es Salaam ni NONGWA ya kulazimisha kurejesha makao makuu ya ukanda wa pwani kama ulivyo pendekezwa na Wajerumani mpaka wakajenga ikulu hapo.

Hata hivyo Bagamoyo ufukwe wake hauna kina kirefu kustahili kujenga bandari yenye kutoa huduma za kimataifa labda mchanga wa bahari uondolewe kutoka majini ambapo inaongeza gharama. Sehemu pekee yenye angalau kina kirefu kidogo ni maeneo ya chuo cha Mbegani
 
Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4.

Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na kufanikisshwa na mpwani mwenzao (rais wa awamu ya 4).

Mbona Chato kunajengwa viwanja vya ndege nje kabisa ya bajeti hatusemi?

Mbona Chato kunajengwa maghorofa yanayokaliwa tu na popo hatusemi?

Mbona Chato kunawekwa mataa barabarani zinazoishia kuongoza mikokoteni hatusemi?

Hii siyo dharau kwa rais Kikwete na watu wa Pwani?

N.B Bado hawajasahau majibu ya nyodo waliopewa walipo omba kiwanda cha kusindika nanasi: "rais wa awamu ya 4 anatoka hapa na analima nanasi, hakujenga. Mlisubiri mm niwe rais ndiyo nije nijenge?"
Kweli kabisa kabisa lazima walifikirie hili tena
 
nakumbuka miaka ile hapa jf watu wa pwani akina ritz, faizafoxy and the likes walipaza sana sauti kupigania huu mradi.

poleni sana watu wa pwani.

Ulifutwa kwasababu baada ya kuuchambua kwa kina haukuwa na faida zilizoainishwa zaidi ya hasara kwa Taifa!!! Katika mradi ule Vasco Dagama aliweka UKWERE Mbele zaidi ya UTANZANIA!!! Hakuna tofauti na vigezo vibovu vilivyotumika katika uamuzi wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini CHATTO!!!
 
Jaman si tulishakubaliana kutumia za kwetu
 
Back
Top Bottom