Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Tumepigwaaaa kijinga. Tubaki tu hapahapa tuendelee wachezaji kusifiwa kwenye magazeti na vijiweni. "Yanga yatangaza kikosi cha maangamizi" mara "simba yawatia tumbo joto waarabu wamisri" tukiingia kiwanjani ni mdebwedo mtupu afadhali wa urojo
Hahahaha ahahahahah
 
Sie tukashiriki mashindano ya kina MUSONYE cecafa
 
Aibu! Pasi zinapigwa Zaajabu Wanacheza Kiajabu Ovyo Ovyo Tu! Wanafungwa Namikia Hawa Kweli Tanzania

Mpira mbele Aufiki Yaani...
 
Mwenye ubao unaoonesha standing, atupie hapa
 
Daaah @Gentamycin umefanya nn??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…