Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Tumepigwaaaa kijinga. Tubaki tu hapahapa tuendelee wachezaji kusifiwa kwenye magazeti na vijiweni. "Yanga yatangaza kikosi cha maangamizi" mara "simba yawatia tumbo joto waarabu wamisri" tukiingia kiwanjani ni mdebwedo mtupu afadhali wa urojo
Hahahaha ahahahahah
 
Aibu! Pasi zinapigwa Zaajabu Wanacheza Kiajabu Ovyo Ovyo Tu! Wanafungwa Namikia Hawa Kweli Tanzania

Mpira mbele Aufiki Yaani...
 
mbarika nilikuambia na kukuonya kuwa nilikuwa nimeshika ' Hirizi ' ili tusifungwe na nikakuambia naiachia na tunafungwa sasa hivi na hatimaye yametimia. GENTAMYCINE ni zaidi ya umjuavyo na muwe mnakuwa na adabu kwani hata Sisi pia tunahangaika na tumehangaika ila mnatudharau.
Daaah @Gentamycin umefanya nn??
 
Back
Top Bottom