ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Kwa nini atoe mpira mwepesi kabisa uleSasa aliyesababisha kona anakosa gani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini atoe mpira mwepesi kabisa uleSasa aliyesababisha kona anakosa gani!?
Sasa aliyesababisha kona anakosa gani!?
Mojaa nunge
Wakabangue korosho huko...Tushapigwa
Nani kasema, thubutuuuuuTunaenda AFCON
Hahahaha ahahahahahTumepigwaaaa kijinga. Tubaki tu hapahapa tuendelee wachezaji kusifiwa kwenye magazeti na vijiweni. "Yanga yatangaza kikosi cha maangamizi" mara "simba yawatia tumbo joto waarabu wamisri" tukiingia kiwanjani ni mdebwedo mtupu afadhali wa urojo
Nasikia wamefugwa goli 1Hizo siasa uchwara huko kwenu zinawafaa hamujui mupira wa tz
Michezaji yenu ndio mibovu hawafundishiki hata aje kocha wa dunia ila kwa wachezaji hawa ni uongo hawafundishiki hawajui kucheza mpira was wanajua kupiga mpira tuAmunike aondoke... Hatumtaki
Uwezo wetu huoUle mpira angeuclear vizuri tusingepigwa hilo goli la kiboya
Hahahahkwisha habari yao... huwezi mwacha bocco nje ukategemea tukashinda
Daaah @Gentamycin umefanya nn??mbarika nilikuambia na kukuonya kuwa nilikuwa nimeshika ' Hirizi ' ili tusifungwe na nikakuambia naiachia na tunafungwa sasa hivi na hatimaye yametimia. GENTAMYCINE ni zaidi ya umjuavyo na muwe mnakuwa na adabu kwani hata Sisi pia tunahangaika na tumehangaika ila mnatudharau.