Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Usimlishe maneno mh Rais tena nakusihi uwe na adabu!
 
Afadhali tumefungwa, kuepuka mikelele ya wapiga tarumbeta wa jiwe
 
wenzetu timu ilipata 250
 
Mabeki wangetakiwa wafunge?
 
Maandalizi mabovu kwenye vilabu na TFF haina falsafa ya mpira kila kocha anakuja na falsafa yake. Kama ilani ya uchaguzi upuuzi huu
Falsafa ya mwalimu ndio inaleta motisha ya kupambana?
Mbona Okwi na Juuko wapo Simba lakini wanapambana sana wakiichezea timu yao ya Taifa,na hapo unasemaje?
 
Reactions: Tui
Kama umesema kuna makundi mawili,kwanini Mwisho uhitimishe kuwa hakuna wananchi wanaosikitika?Huku niliko tu tulikua watanzania wengi sana tunafuatilia game na wengi tumetoka na majonzi makubwa mno.So msimamo wa kundi moja usipende kugeneralize
 
Hawa wachezaji wapelekwe kwenye kubangua korosho tu mpira hawawezi hata siku ya kucheza na Uganda watokèe huko Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…