Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho



Hawa kina Diamond, Wema, Rooney Ronaldo, Chris Brown na Jokate walikuwa bado wanatembea viunoni mwa Baba zao.



Mungu ibariki Taifa Stars, Mungu ibariki Tanzania, nchi pekee uliyotujalia.

Haya ndio maajabu ya bongo,
Nani alikuambia via vya uzazi vinakaa kiunoni?

Hiyo elimu umeitoa wapi?
 
Amin. This is new era
 
hatutaki CCMlization kwenye timu ya taifa. this is for our motherland. not magufuli.
 
Mkuu Tatizo watanzania wanatoa Sana'a support kwenye mitandao ambayo haisaidii kitu Sana'a,Hakuna Moral support ndani ya Wachezaji,Hakuna MTU Professional wa Kuwahamasisha Uzalendo na Kuacha Ubinafsi na Anaekujubalika ndani ya Timu so tunekalia tuu Kikosi Mara Tushangilie,Mmeona World cup,
Yule mama Belinda Kitarovic
Rais wa Croatia alivyokuwa?
Au Paul Pogba Kuna clip ilikuwa INA trend akiwahamasisha mates wenzake kupambana na Kuchukua Ushindi,sisi hiyo kazi Tumewaachia eti Mashabiki tuu ambao wako Nje ya Uwanja!
Mkuu umuhimu ni ushindi. Akili zetu zote ziwe huko. Hayo mengine tutajadili baada ya mechi.
 
Haya ndio maajabu ya bongo,
Nani alikuambia via vya uzazi vinakaa kiunoni?

Hiyo elimu umeitoa wapi?
Mkuu hiyo iliyotumika ni lugha ya picha, kama zile zile zinazotumiwa kwenye vitabu vitakatifu.

Usianzishe mada ndani ya mada.
 
hatutaki CCMlization kwenye timu ya taifa. this is for our motherland. not magufuli.
Lets support our team, madhaifu yetu yapo na hayatokuja kuisha ila tuendelee kuungana kwaajili ya taifa kwenye matukio muhimu kama hili na kwa njia hii itaondoa hilo ulilosema.
 
umeandika kama vile ww sio mtanzania
 
Aliyejiandaa ndiye mshindi,mengine ushirikina tu. Garbage in garbage out
 
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.

Unalalamikia ulipoangukia badala ya ulipojikwaa? Jiulize tumefikaje hapa wakati huko nyuma watu walikuwa wanashangilia timu kwa pamoja? Mlete siasa za kipuuzi kisha zishike hatamu mshangae imekuwaje?
 
Tena waangalie zile 50m zisiwatokee puani! Presidaa alisha waonya!

MUNGU IBARIKI TAIA STARS; MUNGU IBARIKI TANZANIA
Mnapoweka mikwara kwa michango mbuzi ya mil 50 ndio hapo tunapowaachia timu yenu , acheni huo ujinga tushirikiane
 
Does this has anything to do with Politics ?
 
Unalalamikia ulipoangukia badala ya ulipojikwaa? Jiulize tumefikaje hapa wakati huko nyuma watu walikuwa wanashangilia timu kwa pamoja? Mlete siasa za kipuuzi kisha zishike hatamu mshangae imekuwaje?
Hizo siasa za kipuuz kaleta nani?Fuatilia toka jpm anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi ndio utajua mwanzilishi wa siasa za kipuuz ni nani.
 
Hizo siasa za kipuuz kaleta nani?Fuatilia toka jpm anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi ndio utajua mwanzilishi wa siasa za kipuuz ni nani.


Hakuna aliyekuwa na shida na jpm. Usidhani hatuna uwezo wa kuelewa mambo, siku ile watu walitoka kuonyesha hisia zao kuhusu kilichotokea uchaguzi wa Znz na yeye jpm akanunua ugomvi usiomuhusu. Matokeo yake kanunua ugomvi usiomuhusu wakati yeye binafsi hawezi siasa zozote kuanzia za ushindani au za chama kimoja, kinachoendelea sasa ndio hiyo mivutano isiyo na tija. Wanaojifanya wanamkubali wengi wanamuunga mkono kinafiki hata anapoharibu, na wasiomkubali wanamponda hata kwa yale aliyotarajia kuungwa mkono. Anasaka ushindi kwa mbinu za kichovu.
 
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
"USHINDI NI WETU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…