Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una muongezea Presha mume wako ujue.rudini nyumbani tu...mbn mnajiamini hvyo?hahaa mm sifatiliagi mpira ila hapa nimekaa na mume anahema huyo...namwambia ukweli hakuna kitu Tz
Unafanya maombi kabla hujaanza mpiraJamani mbona mmeacha kufanya maombi?
Hakuna timu yakwenda Cameron hapa..hata ikitokeo ikaenda huko ni aibu kubwa italikumba taifa
Ndio mzee inabid aende Uganda bana akaongee na mzee wetu m7Kweli kabisa Mzee Baba afanye ziara ya ghafla kwa Mzee Museveni wayajenge kiutu uzima
Tuna toboa Cameroon lazima twende........ingawa na mm presha iko juu.rudini nyumbani tu...mbn mnajiamini hvyo?hahaa mm sifatiliagi mpira ila hapa nimekaa na mume anahema huyo...namwambia ukweli hakuna kitu Tz
Nmewaambia wa tz hamujui mupira nyieSasa mbona magori hayaingii tena
Kumbe tulishashinda banaaa...Kwa Kikosi cha hovyo kilichopangwa Kuanza badala ya kile ambacho nilikitoa jana hapa baada ya Kuhakikishiwa na ' Mtaalam ' wangu kutoka Pemba wala msipoteze muda wenu Kuangalia na kama tutashinda basi ni kutoka nao Sare ila uwezekano wa Wao Kutufunga ni wa 95% japo kuna Kitu kinaitwa ' zali / bahati ' hivyo tunaweza tukafanikiwa vile vile. TFF na Benchi la Ufundi la Taifa Stars muwe mnaacha dharau pale tukiwa tunawashaurini Vitu vya Kiutamaduni / Kindumba.
Nimekereka sana kama siyo mno tu.
Mkuu matokeo ngapi ngapiBado Lesotho wanapata nafasi pale katikati.
Mpira ni Dakika Tisini usije kushangaa hao Mabeki wakapindua Matokeo😛😛😀Kuna uzi nilicomment Taifa Stars haifuzu haya mashindano walinipopoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona utabiri unaenda kutimia, kocha mjuaji sana anaacha wachezaji wazuri anachukua wachezaji hata hawaeleweki.
Toa ujinga wako hapa we ni kocha??
Mkuu matokeo ngapi ngapi